Simba wadhamiria kukamilisha uwanja wao, Mo Dewji achangia Bilioni 2

ujenzi wa uwanja ni jambo jema ila penye ukakasi ni sababu ya kujenga huo uwanja,
yani mnajenga uwanja kwasababu Babra amenyimwa kuingia na watoto wake kwenye jukwaa la VVIP 🤣 🤣 🤣

Yani mnaamini baada ya kujenga huo uwanja wenu, hamtacheza tena mechi kwa Mkapa????
 
Nayo imekuwa ni hoja ya kuchangia kuanzishwa ujenzi.Na ukumbuke:Utatumiwa na wanamichezo wote.Hata mimi ukitaka uzijue hasira zangu,mchokoze mama yangu au muonee mke wangu.
 
Hii ndo elimu saaa. Wanachama na mashabiki kuweni makini na hoja ilotolewa hapa.
 
Uache wivu uende zake.
Sina wivu mkuu. Ila mashabiki wanapelekwa kwa hisia zaidi. Na kuna uwezekano mkubwa hilo suala lilipangwa kabla.
Si ajabu viongozi walikua wanajua na walianzisha zogo kusudi tu coz wanajua nature ya mashabiki wao.
 
Da bonge la shule mkuu,hii ni fact
 
Hili jambo halihusiani na HISA,Hili ni la watu,Wanachama na Mashabiki kwa Mapenzi yao kwa Simba SC.
 
Na uwanja ukikamilika aupige mabango ya Mo Drink na Mo energy.
 
Hili jambo halihusiani na HISA,Hili ni la watu,Wanachama na Mashabiki kwa Mapenzi yao kwa Simba SC.
Rudi shule we bado ni mtoto. Huna uelewa wowote kuhusu umiliki wa kampuni. Mtatapeliwa sana kwa ubishi wa kitoto kama wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…