Simba wadhamiria kukamilisha uwanja wao, Mo Dewji achangia Bilioni 2

Hivi uwanja wa kigamboni umefikia wapi.
hao ndo malisho ya kitoweo
 
Jamaa mjanja Sana, kasha wakimbia tayari. Yaani uwanja wa watu 30, 000/= unao karibia thamani ya 40 bilion unachangia 2 bilion kweli?
Uwanja wa watu 30,000
Bilioni 40?
Mbona KUBWA Sana gharama
 
Bakhresa anamiliki timu kama mali yake...Simba ni timu ya wanachama so wanachama wana wajibu wa kuwajibika kuleta maendeleo kwenye timu yao
Kama anamiliki asilimia 49% ya club, anapaswa kulipa asilimia 49% za gharama za kujenga uwanja.
 
We jamaa pamoja na kuwa mtupu mno kichwani, ila kwa hili kama nakuelewa.
 
Kama anamiliki asilimia 49% ya club, anapaswa kulipa asilimia 49% za gharama za kujenga uwanja.
Hapana , sidhani kama ni jukumu lake kigharamia 49%za ujenzi wa uwanja. Uwanja una gharama Sana za ujenzi. Hao wanachama Wana buku buku tu. Haiwezi kufika huko. Labda wajenge kama chamazi. Ila kama uhuru au taifa. Nguzo moja ya uwanja tu unakuta imelamba mamilioni ya pesa.
 
And then uwamja utakuwa mali ya nani? Manake jamaa hachelewi kuweka jina lake...kumbuka Simba ni ya wanachama sio mashabiki...
 
Kama anamiliki asilimia 49% ya club, anapaswa kulipa asilimia 49% za gharama za kujenga uwanja.
Hapana , sidhani kama ni jukumu lake kigharamia 49%za ujenzi wa uwanja. Uwanja una gharama Sana za ujenzi. Hao wanachama Wana buku buku tu. Haiwezi kufika huko. Labda wajenge kama chamazi. Ila kama uhuru au taifa. Nguzo moja ya uwanja tu unakuta imelamba mamilioni ya pesa. Dawa ni kukopa tu.
 
Uwanja wa watu 30,000
Bilioni 40?
Mbona KUBWA Sana gharama
Ujenzi ni gharama Sana. Kama tu nyumba nzuri ya kawaida ni mil 20 hiyo ni ya udongo. Kama kweli unajengwa uwanja kama atleast wa uhuru hio pesa inafika
 
Ujenzi ni gharama Sana. Kama tu nyumba nzuri ya kawaida ni mil 20 hiyo ni ya udongo. Kama kweli unajengwa uwanja kama atleast wa uhuru hio pesa inafika
ule wa gwambina si walijenga kwa bilioni 1.?
au wanataka kujenga Kama ile ya ulaya
 
Rudi shule we bado ni mtoto. Huna uelewa wowote kuhusu umiliki wa kampuni. Mtatapeliwa sana kwa ubishi wa kitoto kama wako.
Hili jambo mpaka sasa bado ni mapendekezo na sio mchakato kamili ndio maana MO ameomba Board ikae .
 
We jamaa pamoja na kuwa mtupu mno kichwani, ila kwa hili kama nakuelewa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu kwahiyo mimi mtupu kichwani dah, nimecheka hadi watoto wananishangaa hapa.. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
We jamaa pamoja na kuwa mtupu mno kichwani, ila kwa hili kama nakuelewa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu umenikosea saaaaana
 
Ume eleweka japo inauma
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu kwahiyo mimi mtupu kichwani dah, nimecheka hadi watoto wananishangaa hapa.. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23] huwa unazingua sana kwenye mada zako kwa akina mayele, ila ume eleweka.
 
[emoji23][emoji23] huwa unazingua sana kwenye mada zako kwa akina mayele, ila ume eleweka.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kuna muda tunaweka ushabiki lkn wakati mwingine tunazungumza ila hali halisi. Yote kwa yote tuko pamoja sana.
 
Kama anamiliki asilimia 49% ya club, anapaswa kulipa asilimia 49% za gharama za kujenga uwanja.
Njia rahisi kwa Simba kujenga uwanja ni kuingia ubia na Kampuni duniani kote wanafanya hivyo hata kama watachangia fedha lakini at least 55% - 65% ya Bajeti itoke kwenye Kampuni hizo zingine hata wakichangia sawa

Kwa upande mwingine

kama mfumo wao wa HISA unaeleweka wangeingia DSE pale wakaweka lengo lao then watu wakanunua HISA wangefanikiwa haraka sana.
 
Sina wivu mkuu. Ila mashabiki wanapelekwa kwa hisia zaidi. Na kuna uwezekano mkubwa hilo suala lilipangwa kabla.
Si ajabu viongozi walikua wanajua na walianzisha zogo kusudi tu coz wanajua nature ya mashabiki wao.
Bado hujajifunza semi?Kupanga ni kuchagua huku unabinyabinya!
 
Daa huyu Mhindi mjanja kweli kweli, makolo manajichanga alafu siku ya mwisho uwanja unakuwa mali Mhindi
Yaani mpaka great thinkers wa jf unatumia majina ya Facebook na Instagram!eti makolo walahi if imevamiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…