Simba waliponzwa na mbeleko za ligi yetu, yaliyopita si ndwele.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Tuwapongeze Simba kwa pale walipolifikisha taifa letu kisoka, kidemokrasia na kiuchumi. Timu zetu bado ni "feeder clubs" kwa timu za kaskazini lakini tumejotahidi kuivuta Africa na dunia kuelekea Tanzania kisoka.

Simba tusitafute mchawi kulikosa kombe la CAF kwakuwa wachawi tunawafahamu wote. Nguvu ndogo za kifedha kuweza kusajili, kulipa na kutunza wachezaji wakubwa wenye uwezo kwa misimu mingi ni miongoni mwa sababu hizo. Wachezaji wazuri watachukuliwa na timu za kaskazini na Ulaya. Simba haina wachezaji wazuri kama wale wa Berkane na Yanga.

Kadi aliyopata Kagoma ilitokana na malezi ya TFF kwa Simba. Kagoma anachezea wenzake vibaya kwenye ligi lakini marefa wetu wanapeta wakidhani wanaisaidia Simba kumbe wañaitengenezea Simba timing bomb lililowalipukia CAF confederation kwenye mechi muhimu sana. Refa alinyooka na kunyoosha Sheria za mpira.

Uwekezaji nje ya uwanja (ulozi) umekuwa mkubwa sana kwa Simba. Hii inawatoa mchezoni wachezaji pale watakapogundua kuwa uchawi wao umeteguliwa na timu pinzani. Uchawi ni kikwazo kwa wachezaji wanaomtegemea Mungu kutokana na imani zao.

Ligi yetu inazalisha washindi fake na legelege wanaokwenda kushindana wa washindi halisi na imara kutoka ligi nyingine.
 
Simba tusitafute mchawi kulikosa kombe la CAF kwakuwa wachawi tunayafahamu wote. Nguvu ndogo za kifedha kuweza kusajili, kulipa na kutunza wachezaji wakubwa wenye uwezo kwa misimu mingi ni miongoni mwao sababu hizo. Wachezaji wazuri watachukuliwa na timu za kaskazini na Ulaya. Simba haina wachezaji wazuri kama wale wa Berkane.

Kadi aliyopata Kagoma ilitokana na malezi ya TFF kwa Simba. Kagoma anachezea wenzake vibaya kwenye ligi lakini marefa wetu wanapeta wakidhani wanaisaidia Simba kumbe wañaitenhenezea Simba timing bomb.

Uwekezaji nje ya uwanja (ulozi) umekuwa mkubwa sana kwa Simba. Hii inawatoa mchezoni wachezaji pale watakapogundua kuwa uchawi wao umeteguliwa na timu pinzani. Uchawi ni kikwazo kwa wachezaji wanaomtegemea Mungu kutokana na imani zao.

Ligi yetu inazalisha washindi fake na legelege wanaokwenda kushindana wa washindi halisi na imara kutoka ligi nyingine.
Sidhani kama wamekuelewa bilashaka subiri matusi kutoka kwa makolo.
 
Jambo moja tu umeongea sahihi, hatuna financial muscles za kunyang'anyana wachezaji na club za ulaya na kaskazini, sisi ni feeders, na hii ni kwa timu zote za Tanzania ndo maana mchezaji akiuzwa ghali nje ni furaha.

Wenzetu wanasajili kwa ajili ya kuchukua makombe makubwa, sisi tunasajili ili tuwape ushindani and in process wachezaji waonekane wauzwe kwa faida, katika kutoa ushindani ndo tunajiwekea malengo ya kuvuka makundi pengine kufika nusu fainali, sasa recently sababu ya kufikiria ushindani wa club bingwa, tumejikuta shirikisho ambapo pana ulaini ndo tukafika fainali.
 
Tunawauzia silaha zetu Kali (missiles) na kubakia na magobole. Tunataka kujazia upungufu wetu huu kwa uchawi. Haitawezekana.

Kuna wakati nafikiria kuwa Azam inaweza kuleta ubingwa huu Tanzania kabla ya Simba na Yanga kama TFF na bodi ya ligi watanyooka kama rula.
 
Tuwapongeze Simba kwa pale walipolifikisha taifa letu kisoka, kidemokrasia na kiuchumi. Timu zetu bado ni "feeder clubs" kwa timu za kaskazini lakini tumejotahidi kuivuta Africa na dunia kuelekea Tanzania kisoka.

Simba tusitafute mchawi kulikosa kombe la CAF kwakuwa wachawi tunawafahamu wote. Nguvu ndogo za kifedha kuweza kusajili, kulipa na kutunza wachezaji wakubwa wenye uwezo kwa misimu mingi ni miongoni mwa sababu hizo. Wachezaji wazuri watachukuliwa na timu za kaskazini na Ulaya. Simba haina wachezaji wazuri kama wale wa Berkane na Yanga.

Kadi aliyopata Kagoma ilitokana na malezi ya TFF kwa Simba. Kagoma anachezea wenzake vibaya kwenye ligi lakini marefa wetu wanapeta wakidhani wanaisaidia Simba kumbe wañaitengenezea Simba timing bomb lililowalipukia CAF confederation kwenye mechi muhimu sana. Refa alinyooka na kunyoosha Sheria za mpira.

Uwekezaji nje ya uwanja (ulozi) umekuwa mkubwa sana kwa Simba. Hii inawatoa mchezoni wachezaji pale watakapogundua kuwa uchawi wao umeteguliwa na timu pinzani. Uchawi ni kikwazo kwa wachezaji wanaomtegemea Mungu kutokana na imani zao.

Ligi yetu inazalisha washindi fake na legelege wanaokwenda kushindana wa washindi halisi na imara kutoka ligi nyingine.
Kwa kweli tumeiona simba isiyo na akina Kayombo na Malogo.
 
Sidhani kama wamekuelewa bilashaka subiri matusi kutoka kwa makolo.
Katika karne hii ya akili mnemba (AI) bado kuna timu kubwa ya mwaka 1936 inaamini kuwa uchawi unaleta ushindi kwenye ligi na mashindano ya CAF. Huu ni msiba mkubwa sana na misiba mingine mikubwa. Na TFF na Serikali inaaminishwa hivyo na wanabariki mbinu hizo zitumike.
 
Shomary Kapombe na mwenzake Kibu Denis wamejitahidi kujirusha weeh! Wapi! Hakuna hata penati moja ya mchongo waliyo zawadiwa! 😁
Kumbe nawe uliwaona!! Ligi yetu imewaaminisha hivyo. Simba ilipata alama nyingi kwenye ligi kupitia njia zao hizo.

Mwamuzi wa CAF alikuwa sawasawa siku ile. Mlimuonya Kagoma mara nyingi sana lakini Kagoma hajui namna nyingine ya kucheza zaidi ya rafu kwa wenzake, amelelewa hivyo. Ni Mtoto umleavyo.....
 
1000085188.jpg
 
Kakimbia nyuzi zake zote kabaki kumlaumu refa huko mtaani..
Ukweli Simba wako mbali sana na soka la kisasa. Ona wanavyomsulubu kijana Aishi Manula kwa mambo ya hovyo sana. Ona walivyobishana na CAF kuhusu uwanja wa mechi, ona walivyomtaka meneja wa uwanja wa Mkapa aende likizo awaachie wafanye mambo ya kilozi.
 
Back
Top Bottom