Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Tumaini pekee ni Ligi, Kama tutamfunga Yanga hiyo tarehe 15
Hawakuwa fit. Simba haifanyi vizuri kwenye mashindano ya ndani pekee unless uje na hoja kuwa hata huko nje wamepashika.Wasiwasi yetu ilikuwa ya kweli, Alajiga
Arajiga ametegua kitendawili. Wanasingizia uchovu lakini akina Chasambi awesu balua Mashaka, Manula, Ali Salimu nk sidhani kama walikuwa na uchovu na ni wachezaji halali wa Simba
+ Wazee wafupi + Mbuzi.Kuna watu na taasisi zimechangia simba ikose ubingwa!
1. TFF
2. Bodi ya Ligi
3. Wallace Karia
4. Tatu Malogo
5. Kepha Kayombo
6. Japhet Smart
7. Shomary Lawi
8. Wazee wa klabu
9. Magori
10. SAYVILLE.
Hata bila mbeleko uto anapigikaMuandamane refa awe tatu malogo, na wasaidizi wawe cepha Kayombo na Smart
Mbona asitoe bahasha timu ivuke nusu mpaka inaishia robo kila mwaka?Kaka mo anatemneza bahasha kotekote, Iko kwenye bajeti. Ona Simba ilivyofika kwenye robo na final za CAF.
Na Yanga anaishia makundi sababu?Kule mbele matajiri wakubwa ñi wengi Kila timu Ina hela,
Simba alipewa chapchap mechi za Tabora united na fountain get ambazo hazijakamilisha kusajili wachezaji wake wa kigeni ili wajenge timu wakati wanapata matokeo.marefa wa caf wana uaragija.
Marefa wote hapa bongo wangekuwa na uaragija tungeongea mengine kabisa.
Labda uwezo mdogo mkuu ila kusema VAR si kweli, kwani kabla ya uwepo wa VAR ilifanya vizuri?Uwezo mdogo na VAR.
Ni kuonewa tu mkuu.Kabla ya VAR Yanga walikuwa wanadhulumiwa tu ugenini, walikuwa hawana elimu na mbinu za kukwepa vikwazo vya wenyeji
11. KalpanaKuna watu na taasisi zimechangia simba ikose ubingwa!
1. TFF
2. Bodi ya Ligi
3. Wallace Karia
4. Tatu Malogo
5. Kepha Kayombo
6. Japhet Smart
7. Shomary Lawi
8. Wazee wa klabu
9. Magori
10. SAYVILLE.
Acha wivu mbona nyie mna timu 8 za kuwapa point...Kuna watu na taasisi zimechangia simba ikose ubingwa!
1. TFF
2. Bodi ya Ligi
3. Wallace Karia
4. Tatu Malogo
5. Kepha Kayombo
6. Japhet Smart
7. Shomary Lawi
8. Wazee wa klabu
9. Magori
10. SAYVILLE.