That's good kama ni mke na mume ulitaka iweje hapo ndio uone wapo sawa..
Ww ni kubwa jingaTuwapongeze Simba kwa pale walipolifikisha taifa letu kisoka, kidemokrasia na kiuchumi. Timu zetu bado ni "feeder clubs" kwa timu za kaskazini lakini tumejotahidi kuivuta Africa na dunia kuelekea Tanzania kisoka.
Simba tusitafute mchawi kulikosa kombe la CAF kwakuwa wachawi tunawafahamu wote. Nguvu ndogo za kifedha kuweza kusajili, kulipa na kutunza wachezaji wakubwa wenye uwezo kwa misimu mingi ni miongoni mwa sababu hizo. Wachezaji wazuri watachukuliwa na timu za kaskazini na Ulaya. Simba haina wachezaji wazuri kama wale wa Berkane na Yanga.
Kadi aliyopata Kagoma ilitokana na malezi ya TFF kwa Simba. Kagoma anachezea wenzake vibaya kwenye ligi lakini marefa wetu wanapeta wakidhani wanaisaidia Simba kumbe wañaitengenezea Simba timing bomb lililowalipukia CAF confederation kwenye mechi muhimu sana. Refa alinyooka na kunyoosha Sheria za mpira.
Uwekezaji nje ya uwanja (ulozi) umekuwa mkubwa sana kwa Simba. Hii inawatoa mchezoni wachezaji pale watakapogundua kuwa uchawi wao umeteguliwa na timu pinzani. Uchawi ni kikwazo kwa wachezaji wanaomtegemea Mungu kutokana na imani zao.
Ligi yetu inazalisha washindi fake na legelege wanaokwenda kushindana wa washindi halisi na imara kutoka ligi nyingine.
Vilabu vya TZ kufika fainali champion ni ngumu sana.Jambo moja tu umeongea sahihi, hatuna financial muscles za kunyang'anyana wachezaji na club za ulaya na kaskazini, sisi ni feeders, na hii ni kwa timu zote za Tanzania ndo maana mchezaji akiuzwa ghali nje ni furaha.
Wenzetu wanasajili kwa ajili ya kuchukua makombe makubwa, sisi tunasajili ili tuwape ushindani and in process wachezaji waonekane wauzwe kwa faida, katika kutoa ushindani ndo tunajiwekea malengo ya kuvuka makundi pengine kufika nusu fainali, sasa recently sababu ya kufikiria ushindani wa club bingwa, tumejikuta shirikisho ambapo pana ulaini ndo tukafika fainali.
Vp utopolo ambao hawana mbeleko za ligi??Tuwapongeze Simba kwa pale walipolifikisha taifa letu kisoka, kidemokrasia na kiuchumi. Timu zetu bado ni "feeder clubs" kwa timu za kaskazini lakini tumejotahidi kuivuta Africa na dunia kuelekea Tanzania kisoka.
Simba tusitafute mchawi kulikosa kombe la CAF kwakuwa wachawi tunawafahamu wote. Nguvu ndogo za kifedha kuweza kusajili, kulipa na kutunza wachezaji wakubwa wenye uwezo kwa misimu mingi ni miongoni mwa sababu hizo. Wachezaji wazuri watachukuliwa na timu za kaskazini na Ulaya. Simba haina wachezaji wazuri kama wale wa Berkane na Yanga.
Kadi aliyopata Kagoma ilitokana na malezi ya TFF kwa Simba. Kagoma anachezea wenzake vibaya kwenye ligi lakini marefa wetu wanapeta wakidhani wanaisaidia Simba kumbe wañaitengenezea Simba timing bomb lililowalipukia CAF confederation kwenye mechi muhimu sana. Refa alinyooka na kunyoosha Sheria za mpira.
Uwekezaji nje ya uwanja (ulozi) umekuwa mkubwa sana kwa Simba. Hii inawatoa mchezoni wachezaji pale watakapogundua kuwa uchawi wao umeteguliwa na timu pinzani. Uchawi ni kikwazo kwa wachezaji wanaomtegemea Mungu kutokana na imani zao.
Ligi yetu inazalisha washindi fake na legelege wanaokwenda kushindana wa washindi halisi na imara kutoka ligi nyingine.
Kweli.Vilabu vya TZ kufika fainali champion ni ngumu sana.
Imagine Simba na yanga za sasa ziende mdimu ujao hivyo hivyo champion
Hivi ni kweli Simba walikuwa na timu ya kuifunga Berkane? Yaani kule Morocco hawakupata hata shuti Moja lililolenga lango, kule Zanzibar walipata shuti Moja tu kwa dakila zote za mchezo. Refa alikuwa sawa na CAF walikuwa sahihi kuhamisha mechi.Ww ni kubwa jinga
Shida wanasimba watabisha!!!👿Tuwapongeze Simba kwa pale walipolifikisha taifa letu kisoka, kidemokrasia na kiuchumi. Timu zetu bado ni "feeder clubs" kwa timu za kaskazini lakini tumejotahidi kuivuta Africa na dunia kuelekea Tanzania kisoka.
Simba tusitafute mchawi kulikosa kombe la CAF kwakuwa wachawi tunawafahamu wote. Nguvu ndogo za kifedha kuweza kusajili, kulipa na kutunza wachezaji wakubwa wenye uwezo kwa misimu mingi ni miongoni mwa sababu hizo. Wachezaji wazuri watachukuliwa na timu za kaskazini na Ulaya. Simba haina wachezaji wazuri kama wale wa Berkane na Yanga.
Kadi aliyopata Kagoma ilitokana na malezi ya TFF kwa Simba. Kagoma anachezea wenzake vibaya kwenye ligi lakini marefa wetu wanapeta wakidhani wanaisaidia Simba kumbe wañaitengenezea Simba timing bomb lililowalipukia CAF confederation kwenye mechi muhimu sana. Refa alinyooka na kunyoosha Sheria za mpira.
Uwekezaji nje ya uwanja (ulozi) umekuwa mkubwa sana kwa Simba. Hii inawatoa mchezoni wachezaji pale watakapogundua kuwa uchawi wao umeteguliwa na timu pinzani. Uchawi ni kikwazo kwa wachezaji wanaomtegemea Mungu kutokana na imani zao.
Ligi yetu inazalisha washindi fake na legelege wanaokwenda kushindana wa washindi halisi na imara kutoka ligi nyingine.
Shida ni kwamba hata baadhi ya viongozi wa TFF na bodi ya ligi wanachomwa sana kupitiliza na matokeo mabaya ya Simba. Na Kuna viongozi walioweka nadhiri kuhusu Simba na nadhiri hizo hazitimii. Ndio maana Simba inasaidiwa kiiiilaaaa kitu ishindinde. Sema tu mwenyezimungu nae ni wa wote.Naendelea kusisitiza TFF ni kikundi cha wahuni waliojificha kwenye uongozi wa soka!
View attachment 3348003
Kipindi cha usajili hichoooo kinakaribia, kama Simba watajidanganya kama wanayo timu ya kucheza misimu 3 au 4 ijayo bila kusajiri wapya watakiona cha mtema Kuni. Hakuna wachezaji pale, wamesaidiwa na mfumo wa TFF iliyoko tu kufika hapo walipo kwenye ligi na hata CAF.Hakuna asojua, wananchi wanajua, wanachama wanajua, TFF wanajua, serikali inajua na CAF inafahamu.
Naunga mkono hoja yakooTuwapongeze Simba kwa pale walipolifikisha taifa letu kisoka, kidemokrasia na kiuchumi. Timu zetu bado ni "feeder clubs" kwa timu za kaskazini lakini tumejotahidi kuivuta Africa na dunia kuelekea Tanzania kisoka.
Simba tusitafute mchawi kulikosa kombe la CAF kwakuwa wachawi tunawafahamu wote. Nguvu ndogo za kifedha kuweza kusajili, kulipa na kutunza wachezaji wakubwa wenye uwezo kwa misimu mingi ni miongoni mwa sababu hizo. Wachezaji wazuri watachukuliwa na timu za kaskazini na Ulaya. Simba haina wachezaji wazuri kama wale wa Berkane na Yanga.
Kadi aliyopata Kagoma ilitokana na malezi ya TFF kwa Simba. Kagoma anachezea wenzake vibaya kwenye ligi lakini marefa wetu wanapeta wakidhani wanaisaidia Simba kumbe wañaitengenezea Simba timing bomb lililowalipukia CAF confederation kwenye mechi muhimu sana. Refa alinyooka na kunyoosha Sheria za mpira.
Uwekezaji nje ya uwanja (ulozi) umekuwa mkubwa sana kwa Simba. Hii inawatoa mchezoni wachezaji pale watakapogundua kuwa uchawi wao umeteguliwa na timu pinzani. Uchawi ni kikwazo kwa wachezaji wanaomtegemea Mungu kutokana na imani zao.
Ligi yetu inazalisha washindi fake na legelege wanaokwenda kushindana wa washindi halisi na imara kutoka ligi nyingine.
Hapa ndipo shida ilipo.Uwekezaji nje ya uwanja (ulozi) umekuwa mkubwa sana kwa Simba. Hii inawatoa mchezoni wachezaji pale watakapogundua kuwa uchawi wao umeteguliwa na timu pinzani. Uchawi ni kikwazo kwa wachezaji wanaomtegemea Mungu kutokana na imani zao.
Wasiwasi yetu ilikuwa ya kweli, AlajigaThat's good kama ni mke na mume ulitaka iweje hapo ndio uone wapo sawa..
Arajiga ametegua kitendawili. Wanasingizia uchovu lakini akina Chasambi awesu balua Mashaka, Manula, Ali Salimu nk sidhani kama walikuwa na uchovu na ni wachezaji halali wa SimbaJambo moja tu umeongea sahihi, hatuna financial muscles za kunyang'anyana wachezaji na club za ulaya na kaskazini, sisi ni feeders, na hii ni kwa timu zote za Tanzania ndo maana mchezaji akiuzwa ghali nje ni furaha.