Sidhani kama wamekuelewa bilashaka subiri matusi kutoka kwa makolo.Tuwapongeze Simba kwa pale walipolifikisha taifa letu kisoka, kidemokrasia na kiuchumi. Timu zetu bado ni "feeder clubs" kwa timu za kaskazini lakini tumejotahidi kuivuta Africa na dunia kuelekea Tanzania kisoka.
Simba tusitafute mchawi kulikosa kombe la CAF kwakuwa wachawi tunayafahamu wote. Nguvu ndogo za kifedha kuweza kusajili, kulipa na kutunza wachezaji wakubwa wenye uwezo kwa misimu mingi ni miongoni mwao sababu hizo. Wachezaji wazuri watachukuliwa na timu za kaskazini na Ulaya. Simba haina wachezaji wazuri kama wale wa Berkane.
Kadi aliyopata Kagoma ilitokana na malezi ya TFF kwa Simba. Kagoma anachezea wenzake vibaya kwenye ligi lakini marefa wetu wanapeta wakidhani wanaisaidia Simba kumbe waΓ±aitenhenezea Simba timing bomb.
Uwekezaji nje ya uwanja (ulozi) umekuwa mkubwa sana kwa Simba. Hii inawatoa mchezoni wachezaji pale watakapogundua kuwa uchawi wao umeteguliwa na timu pinzani. Uchawi ni kikwazo kwa wachezaji wanaomtegemea Mungu kutokana na imani zao.
Ligi yetu inazalisha washindi fake na legelege wanaokwenda kushindana wa washindi halisi na imara kutoka ligi nyingine.
Tunawauzia silaha zetu Kali (missiles) na kubakia na magobole. Tunataka kujazia upungufu wetu huu kwa uchawi. Haitawezekana.Jambo moja tu umeongea sahihi, hatuna financial muscles za kunyang'anyana wachezaji na club za ulaya na kaskazini, sisi ni feeders, na hii ni kwa timu zote za Tanzania ndo maana mchezaji akiuzwa ghali nje ni furaha.
Wenzetu wanasajili kwa ajili ya kuchukua makombe makubwa, sisi tunasajili ili tuwape ushindani and in process wachezaji waonekane wauzwe kwa faida, katika kutoa ushindani ndo tunajiwekea malengo ya kuvuka makundi pengine kufika nusu fainali, sasa recently sababu ya kufikiria ushindani wa club bingwa, tumejikuta shirikisho ambapo pana ulaini ndo tukafika fainali.
Kabisa mkuu.Tunawauzia silaha zetu Kali (missiles) na kubakia na magobole.
Kwa kweli tumeiona simba isiyo na akina Kayombo na Malogo.Tuwapongeze Simba kwa pale walipolifikisha taifa letu kisoka, kidemokrasia na kiuchumi. Timu zetu bado ni "feeder clubs" kwa timu za kaskazini lakini tumejotahidi kuivuta Africa na dunia kuelekea Tanzania kisoka.
Simba tusitafute mchawi kulikosa kombe la CAF kwakuwa wachawi tunawafahamu wote. Nguvu ndogo za kifedha kuweza kusajili, kulipa na kutunza wachezaji wakubwa wenye uwezo kwa misimu mingi ni miongoni mwa sababu hizo. Wachezaji wazuri watachukuliwa na timu za kaskazini na Ulaya. Simba haina wachezaji wazuri kama wale wa Berkane na Yanga.
Kadi aliyopata Kagoma ilitokana na malezi ya TFF kwa Simba. Kagoma anachezea wenzake vibaya kwenye ligi lakini marefa wetu wanapeta wakidhani wanaisaidia Simba kumbe waΓ±aitengenezea Simba timing bomb lililowalipukia CAF confederation kwenye mechi muhimu sana. Refa alinyooka na kunyoosha Sheria za mpira.
Uwekezaji nje ya uwanja (ulozi) umekuwa mkubwa sana kwa Simba. Hii inawatoa mchezoni wachezaji pale watakapogundua kuwa uchawi wao umeteguliwa na timu pinzani. Uchawi ni kikwazo kwa wachezaji wanaomtegemea Mungu kutokana na imani zao.
Ligi yetu inazalisha washindi fake na legelege wanaokwenda kushindana wa washindi halisi na imara kutoka ligi nyingine.
Timu gani inapewa penati kila watani wa mechi mbili π€£π€£π€£π€£. Hawa wakose tu kwanza walisema wanajenga timu.Wameilemza Simba na kuipa false hopes. Kulikosa kombe haikushangaza waujuao mpira, mengine yangekuwa flukes (chance)
Sayville tenaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£Kuna watu na taasisi zimechangia simba ikose ubingwa!
1. TFF
2. Bodi ya Ligi
3. Wallace Karia
4. Tatu Malogo
5. Kepha Kayombo
6. Japhet Smart
7. Shomary Lawi
8. Wazee wa klabu
9. Magori
10. SAYVILLE.
Katika karne hii ya akili mnemba (AI) bado kuna timu kubwa ya mwaka 1936 inaamini kuwa uchawi unaleta ushindi kwenye ligi na mashindano ya CAF. Huu ni msiba mkubwa sana na misiba mingine mikubwa. Na TFF na Serikali inaaminishwa hivyo na wanabariki mbinu hizo zitumike.Sidhani kama wamekuelewa bilashaka subiri matusi kutoka kwa makolo.
Aliwapa mashabiki wenzake matumaini hewa humu jukwaani, halafu mwisho wa siku timu imekosa ubingwa! πSayville tenaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Shomary Kapombe na mwenzake Kibu Denis wamejitahidi kujirusha weeh! Wapi! Hakuna hata penati moja ya mchongo waliyo zawadiwa! πKapombe alidhani hata CAF atafanya ujinga uleule anaowafanyia akina Kayombo na Smart kupata penalti CAF.
Kakimbia nyuzi zake zote kabaki kumlaumu refa huko mtaani..Aliwapa mashabiki wenzake matumaini hewa humu jukwaani, halafu mwisho wa siku timu imekosa ubingwa! π
Kumbe nawe uliwaona!! Ligi yetu imewaaminisha hivyo. Simba ilipata alama nyingi kwenye ligi kupitia njia zao hizo.Shomary Kapombe na mwenzake Kibu Denis wamejitahidi kujirusha weeh! Wapi! Hakuna hata penati moja ya mchongo waliyo zawadiwa! π
Ukweli Simba wako mbali sana na soka la kisasa. Ona wanavyomsulubu kijana Aishi Manula kwa mambo ya hovyo sana. Ona walivyobishana na CAF kuhusu uwanja wa mechi, ona walivyomtaka meneja wa uwanja wa Mkapa aende likizo awaachie wafanye mambo ya kilozi.Kakimbia nyuzi zake zote kabaki kumlaumu refa huko mtaani..