Simba waliponzwa na mbeleko za ligi yetu, yaliyopita si ndwele.

Ww ni kubwa jinga
 
Vilabu vya TZ kufika fainali champion ni ngumu sana.
Imagine Simba na yanga za sasa ziende mdimu ujao hivyo hivyo champion
 
Reactions: Tsh
Vp utopolo ambao hawana mbeleko za ligi??
 
Ww ni kubwa jinga
Hivi ni kweli Simba walikuwa na timu ya kuifunga Berkane? Yaani kule Morocco hawakupata hata shuti Moja lililolenga lango, kule Zanzibar walipata shuti Moja tu kwa dakila zote za mchezo. Refa alikuwa sawa na CAF walikuwa sahihi kuhamisha mechi.
 
Shida wanasimba watabisha!!!👿
 
Simba tungechukua ubingwa basi tungekusanya wajumbe wote wa serikali za mitaa nchi nzima harafu tungewashindanisha kucheza bingwa angepiga picha na kombe
 
Naendelea kusisitiza TFF ni kikundi cha wahuni waliojificha kwenye uongozi wa soka!

Your browser is not able to display this video.
 
Naendelea kusisitiza TFF ni kikundi cha wahuni waliojificha kwenye uongozi wa soka!

View attachment 3348003
Shida ni kwamba hata baadhi ya viongozi wa TFF na bodi ya ligi wanachomwa sana kupitiliza na matokeo mabaya ya Simba. Na Kuna viongozi walioweka nadhiri kuhusu Simba na nadhiri hizo hazitimii. Ndio maana Simba inasaidiwa kiiiilaaaa kitu ishindinde. Sema tu mwenyezimungu nae ni wa wote.
 
Hakuna asojua, wananchi wanajua, wanachama wanajua, TFF wanajua, serikali inajua na CAF inafahamu.
Kipindi cha usajili hichoooo kinakaribia, kama Simba watajidanganya kama wanayo timu ya kucheza misimu 3 au 4 ijayo bila kusajiri wapya watakiona cha mtema Kuni. Hakuna wachezaji pale, wamesaidiwa na mfumo wa TFF iliyoko tu kufika hapo walipo kwenye ligi na hata CAF.
 
Naunga mkono hoja yakoo
 
Uwekezaji nje ya uwanja (ulozi) umekuwa mkubwa sana kwa Simba. Hii inawatoa mchezoni wachezaji pale watakapogundua kuwa uchawi wao umeteguliwa na timu pinzani. Uchawi ni kikwazo kwa wachezaji wanaomtegemea Mungu kutokana na imani zao.
Hapa ndipo shida ilipo.
 
That's good kama ni mke na mume ulitaka iweje hapo ndio uone wapo sawa..
Wasiwasi yetu ilikuwa ya kweli, Alajiga
Arajiga ametegua kitendawili. Wanasingizia uchovu lakini akina Chasambi awesu balua Mashaka, Manula, Ali Salimu nk sidhani kama walikuwa na uchovu na ni wachezaji halali wa Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…