Simba waliponzwa na mbeleko za ligi yetu, yaliyopita si ndwele.

Acha wivu mbona nyie mna timu 8 za kuwapa point...
Ubaya ubwela..
Sema timu 9! Umeisahau timu moja iliyofungwa mara 4 mfululizo kiasi cha kusababisha tarehe 8 Machi 2025 kukimbia kichapo kingine cha 5.
 
Kama ligi yetu inaponza timu na kuzifanya zifike fainali CAF, basi mimi ningependa ziendelee kuponzwa tu
 
Sema timu 9! Umeisahau timu moja iliyofungwa mara 4 mfululizo kiasi cha kusababisha tarehe 8 Machi 2025 kukimbia kichapo kingine cha 5.
Tutoe huko nyie mnchowazid simba ni uchawi na kuwahonga wachezaji walegeze kamba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…