SIMBA WALISAJILI CHEAP LABOUR, NI KANUNI YA WAHINDI WENGI ILI KUBANA MATUMIZI NA WAKATI HUO HUO WAKITAKA MAFANIKIO MAKUBWA NI NGUMU KUFANIKIWA!

Ila wabongo Kwa ujuaji ni noma Sana

Mnakuwa na mawazo ya kuona tem zenu zinaweza kumsajiri hata mesii

Hizi team ni maskini hazina pesa na kiuchumi sio kubwa kiiiiiihvyo

Sasa mnatemea hao wachezaji wa wakubwa watawapata wapi?
 
Nimekumbuka ni Jaribu Tena alizungumza hivyo sio Mangungu.
 
Halafu unasikia wanasema Simba inasajili wachezaji wa mafungu ona wanachofanya wao. Ona walivyobeba wachezaji wa AS Vita kwa mafungu. Sikumbuki Simba kusajili wachezaji watatu wa mpigo kutoka timu moja, hiyo ndiyo definition ya wachezaji wa mafungu kama hawajui
 
Takataka
 
Reactions: Tui
Shida sio kusajili wachezaji kutoka timu Moja, shida ni wanavyo viwango Gani hao wachezaji, yanga walipowasajili kina juma shabani toka As vita walikuja na wakaonyesha thamani yao, walichokifanya ata wewe wanakusuta, utawalinganisha na hao wachezaji wenu kina mutale, ebu kuweni na aibu muda mwingine basi!
 
Mliwapata kwa bei gani? Wachezaji wa mafungu maana yake unawapata kwa pamoja unapewa kama nyanya sokoni kwa bei rahisi, wengine unapewa wa ziada kama kifungashio. Kwani nyanya hazina thamani kisa umezinunua kwa mafungu?
 
Mpigie Engineer atakwambia ni kiasi Gani alikitumia kuwapata, Na usisahau juma shabani alikuwa kwenye ubora wake kipindi icho akitolewa macho na vilabu vikubwa, pia Kuna nyanya fresh na kuna nyanya zilizooza, Simba wao wamekuwa kama fisi kivizia vile vilivyoachwa ndo wanapita navyo matokeo yake ndio yale ya kupaki basi dhidi ya timu kama Ile!
 
Unaongea kama umekatwa kichwa unabwabwaja tu. Ingekuwa utani ningeelewa ila ni kwamba haujui hata unachoongea. Wewe ni wa kusamehe tu bure
 
Unaongea kama umekatwa kichwa unabwabwaja tu. Ingekuwa utani ningeelewa ila ni kwamba haujui hata unachoongea. Wewe ni wa kusamehe tu bure
Leta izo thamani za hao wachezaji tatizo lenu nyie mashabiki uchwala uwa amtaki kuambiwa ukweli, Anaebwabwaja ni wewe maana unachokisemea Wala akiendani na usajili wa wachezaji wako hao unaowapamba, yanga alisajili wachezaji Wenye uzoefu na Bora but nyie mmesajili umri na cheap labour na bado mnataka matokeo mazuri labda punguani pekee ndio atakubaliana na hoja zako!
 
Siwezi kupoteza muda kuendelea na huu mjadala ambao mwingine kauita kwa jina sahihi kabisa hizo ni TAKATAKA.
 
Reactions: Tui
Hivi wahindi wanacheza mpira?
 
Fisi ni nani anayevizia?Case in study makapi ya Simba msimu mmoja wachezaji watatu au tukukumbushe majina?
Fisi aliyezeeka anajulikana kwa matendo yake.
 
Fisi ni nani anayevizia?Case in study makapi ya Simba msimu mmoja wachezaji watatu au tukukumbushe majina?
Fisi aliyezeeka anajulikana kwa matendo yake.
Leta na matokeo yao na mafanikio yao uwanjani, yale makapi tiyali yamebeba vikombe, vipi wale waliopishana nayo waliambulia nini?
 
Siwezi kupoteza muda kuendelea na huu mjadala ambao mwingine kauita kwa jina sahihi kabisa hizo ni TAKATAKA.
Auna hoja za msingi maana timu yako yenyewe inakuumbua Kila kitu kimeonekana jana utadanganya nini sasa!
 
Leta na matokeo yao na mafanikio yao uwanjani, yale makapi tiyali yamebeba vikombe, vipi wale waliopishana nayo waliambulia nini?
Walibeba vikombe wakiwa na timu gani wewe gongowazi?Waliopishana nao ni nani?Unaandika mradi uandike?
 
Kumbe AL AHLY TRIPOLI NI TEAM NDOGO, BASI SAWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…