SIMBA WALISAJILI CHEAP LABOUR, NI KANUNI YA WAHINDI WENGI ILI KUBANA MATUMIZI NA WAKATI HUO HUO WAKITAKA MAFANIKIO MAKUBWA NI NGUMU KUFANIKIWA!

Bila Mo kuondoka Simba watatapatapa sana. Ni kweli mo kasaidoa Simba ila alipofika ndio mwisho wake. Simba watafute mwekezaji mwenye utayari wa kutoa oesa zaidi ya Mo.
 
Sasa hivi mnahangaika na Kagoma wakati pesa mliyotoa ilikuwa ndogo, milioni 30 mnataka mlipe kwa awamu halafu unakuja kutoa post ndio maana Eymael alikwambia ukweli mkasema kawatukana.
Sa Kagoma ungekuwa wewe ungetoa zaidi ya M 25?
 
Walibeba vikombe wakiwa na timu gani wewe gongowazi?Waliopishana nao ni nani?Unaandika mradi uandike?
Tuambie ntibanzokiza alibeba kombe Gani akiwa kwenu, Niyomzima pia tuambie!
 
Sijui CBE na Al Ahly Tripoli ipi timu ndogo?.Hawa mazazwa kufikiri kwao ni changamoto.
Yanga anapiga timu zote iwe kubwa iwe ndogo zote zinachezea kichapo na ameshaonyesha ilo kwa vitendo, suala la kujificha kwa cbe aiondoi ukweli kwamba yanga wameshaset standard yao hapa Africa, iwe ugenini iwe nyumbani aijalishi inacheza na nani, na kama nyie ni wanaume tutaona kama mtashinda ata mechi Moja ugenini kwenye ilo kombe la looser!
 
Ntibankiza alisajiliwa kutoka Geita Gold wewe zwazwa.Haruna alichukua ubingwa wa ligi.Umeanza kupenda mpira 2024?
Kwa iyo alitokea wapi kwenda geita gold?
 

unasajili wachezaji 14, wa viwango vya kawaida ukitegemea kupata return ya matokeo makubwa ni uongo!
Fikiria masimango yote haya , timu imetoa sare. Je, ingefungwa ingekuwaje? Wabongo sina hamu nao kabisa!
 
Kushinda ugenini Simba lashinda sana wewe gongowazi .Amefika,robo fainali 5 ndani ya miaka 5.
Tena kashinda Nigeria,Congo, Angola na kuongoza kundi alilokuwepo Bingwa wa Africa AL Alhly.Ndio maana Gongowazi mnaanza preminary round kwenye mashindano ya Africa. SIMBA kashavuka huko.Nyie bado level moja na Azam,Coastal Union na Namungo.Kazeni buti muweke legacy wacheni porojo.
 
Wako kwenye foleni ya supu .Sura za njaa.
 
We nawe unapoteza nguvu bure.
Unapigia mbuzi gitaa.
Kitendo tu cha kuwaona kina Djuma shaban hawana thamani kisa wamenunuliwa kwa mpigo ulitakiwa uache kubishana naye huyo.
Wachezaji walionunuliwa kutoka AS vita kwa Mafungu WOTE WALIONESHA KIWANGO KIKUBWA.
Tena msimu wa kwanza tu walionesha kiwango hadi timu kubwa zikawatamani.
Aya waangalie kina mutale na Debora vichekesho vitupu.
 
Kwaiyo kwa sasa mmebaki jina tu, unatuletea historia hapa, kipindi cha korona nchi ziko lockdown ndio mafanikio unayotuletea hapa miaka 5 iliyopita, endeleeni kuishi kwa historia kama amtoshushwa hapo na ushiriki wenu wa kombe la looser!
 
Yule keshaingia mitini maana alikuwa analeta viroja badala ya hoja, alafu anaongea utafikiri timu yake ilikuwa inacheza Mpira chumbani akuna aliyekuwa anaona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…