Simba wameachana na wachezaji Jean Baleke pamoja na Moses Phiri

Simba wameachana na wachezaji Jean Baleke pamoja na Moses Phiri

jmushi1

Platinum Member
Joined
Nov 2, 2007
Posts
26,329
Reaction score
25,263
1705425522806.png


1705425548067.png
 
Dah hapo kwa Baleke ndipo Simba walipoyumba, ila kwa kuwa alikuja kwa mkopo sawa. Kila la heri huko aendako
Baleke nitamkumbuka katika zile nyakati alizokuwa bora, the sane goes to Phiri.

Lakini currently lazima tukubali kuwa uwezo wa hao wachezaji umepungua.
 
Ila tuwe wakweli Baleke ameyumba msimu huu, hana makeke kama aliyoyaonesha msimu uliopita mwishoni!
Moja ya nyakati zake kwenye mpira ambapo nilikuwa disappointed naye ni ile 1st leg na Wydad.

Alikuwa kwenye position nzuri ya kufunga akanyanyua mguu kwa ajili ya kuupiga mpira lakini ghafla akaanza kusita haelewi afanye nini mpaka wapinzani wakaanza kushangaa.

Nilimaindi sana siku ile
 
Subiri sasa matambara yatakayoletwa utasema bora hawa walioachwa. Simba ni upigaji tu
 
Back
Top Bottom