Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Hili swala tulishalijadili humuKwa hiyo ukiwa sio foreigner unavumiliwa tu? Vile anavyoachwa Baleke vile vile ilifaa na Bocco aachwe, simba sio timu ya taifa.
Nitajie striker mzawa anayeweza ku fill gape la Bocco.
Tumie hata rekodi za msimu uliopita kuchagua nani Striker mkali ambaye unamuona angeweza ku fit pale Simba.