Hili swala tulishalijadili humuKwa hiyo ukiwa sio foreigner unavumiliwa tu? Vile anavyoachwa Baleke vile vile ilifaa na Bocco aachwe, simba sio timu ya taifa.
Kwa nini striker wa kumrithi Bocco lazima awe mzawa?Hili swala tulishalijadili humu
Nitajie striker mzawa anayeweza ku fill gape la Bocco.
Tumie hata rekodi za msimu uliopita kuchagua nani Striker mkali ambaye unamuona angeweza ku fit pale Simba.
Kama striker wa kumrithi Bocco si lazima we mzawa, niambie ni ipi sababu ya kumfukuza Bocco ikiwa kuna Strikers foreigners wamesajiliwa?Kwa nini striker wa kumrithi Bocco lazima awe mzawa?
Kwani Erasto Nyoni alivyoachwa hakukuwa na mabeki na viungo wa kigeni waliosajiliwa?Kama striker wa kumrithi Bocco si lazima we mzawa, niambie ni ipi sababu ya kumfukuza Bocco ikiwa kuna Strikers foreigners wamesajiliwa?
Nitajie position ya Erasto Nyoni aliyokuwa anacheza halafu unipe na mfano wa foreigner aliyesajiliwa kumbadiliKwani Erasto Nyoni alivyoachwa hakukuwa na mabeki na viungo wa kigeni waliosajiliwa?
Wameyumba vipi na Mazembe wamekaza wanataka mchezaji waoDah hapo kwa Baleke ndipo Simba walipoyumba, ila kwa kuwa alikuja kwa mkopo sawa. Kila la heri huko aendako
Wote hao wawili ni watu haswa.Duhhh mm YANGA damu ila baleke namkubali sana
Nyoni alikuwa anacheza kiungo au beki na hakuwa first 11, na baada ya yeye kuondoka kuna mabeki na viungo wamesajiliwa. Lakini pamoja na hayo Bocco hajitolei hivyo kutetea kwamba kwa vile kuna foreign strikers wamesajiliwa basi Bocco abaki hata kama kiwango chake ni kidogo hiyo timu inakuwa haioni mbele.Nitajie position ya Erasto Nyoni aliyokuwa anacheza halafu unipe na mfano wa foreigner aliyesajiliwa kumbadili
Na hii ni kawaida kwa mchezaji yeyote yule, Azizi ki aliwahi kupitia nyakati hizo, hata first eleven hakuwa ananza, Mwamnyeto pia imewahi kumtokea.Ila tuwe wakweli Baleke ameyumba msimu huu, hana makeke kama aliyoyaonesha msimu uliopita mwishoni!
Katika hao mabeki waliosajiliwa hakuna wazawa?Nyoni alikuwa anacheza kiungo au beki na hakuwa first 11, na baada ya yeye kuondoka kuna mabeki na viungo wamesajiliwa. Lakini pamoja na hayo Bocco hajitolei hivyo kutetea kwamba....
Wazawa wapo na wageni wapo lakini sio lazima kila nafasi iwe na mzawa nq mgeni.Katika hao mabeki waliosajiliwa hakuna wazawa?
Pamoja na kuyumba ana goli 8 msimu huu, baleke kuondoka Simba nimeumia sanaIla tuwe wakweli Baleke ameyumba msimu huu, hana makeke kama aliyoyaonesha msimu uliopita mwishoni!
Akina Bocco walishamfunga miguu kama walivyo mfunga MugaluIla tuwe wakweli Baleke ameyumba msimu huu, hana makeke kama aliyoyaonesha msimu uliopita mwishoni!
Ila tuwe wakweli Baleke ameyumba msimu huu, hana makeke kama aliyoyaonesha msimu uliopita mwishoni!
ila Saidoo wamemwacha hapo ndio unaona hatuna viongozi mtu anagusa mpira mara 30 anaanguka mara 28
Subiri sasa matambara yatakayoletwa utasema bora hawa walioachwa. Simba ni upigaji tu