Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini na wapi hiyo?Wekeni kina Okwa mpigwe ndo mtaona ukali wa mashabiki wa Simba. Kama mashabiki walisababisha timu kuondoka uwanjani baada ya dk45 tu baada ya kupigwa 4 kabla ya halftime itakuwa kipindi hiki ambacho kila kitu kinakuwa live?
Kwa wale ambao mmeshakaa sana porini ... ukiingia kwenye msitu wenye simba halafu huwaoni wakizurura zurura aisee kimbia haraka utafute mahali palipo salama maana ukiendelea kukaza shingo utakufa vibaya... kinachowatesa kisaikolojia wenzetu saivi ni ukimya wa SIMBA SC hii si ishara nzuri kwao... kesho kuna mtu anaenda kupasuliwa goli za maumivu mno..Sijaelewa, kwanini Ali Kamwe ahangaishwe na ukimya wa Simba? Nimekuja gundua wakati sisi Yanga tunahangaika sana na hii mechi wenzetu wanaichukulia ni mechi ya kawaida tu.
Hawajaamua kuwekeza nguvu nyingi sana, jambo ambalo pia ni kama limeanza kututesa. Ali Kamwe limemgusa, anaona kama jamaa wamenyamaza na hawatoi kiki. Yanga nasi tujikite katika mechi za Kimataifa zaidi.
Najua povu litawatoka watu, acha limwagike tu.
Ukimya ni jibu baya sana.Mbona kauli ya kusema simba atapigwa kama ngoma ya mdundiko sijaisikia safari hii.[emoji1787][emoji1787] woga umewaingia hahaa
Hivi wewe si ndiye uliyesema Yanga akifungwa na Al Hilal unatoka JF mwezi mzima, sasa huku umekuja kufuata nini ama mechi haijachezwa bado?Wekeni kina Okwa mpigwe ndo mtaona ukali wa mashabiki wa Simba. Kama mashabiki walisababisha timu kuondoka uwanjani baada ya dk45 tu baada ya kupigwa 4 kabla ya halftime itakuwa kipindi hiki ambacho kila kitu kinakuwa live?
Hana maisha marefu Utopoloni huyu labda kama Hersi nae ni Makolo.
Leo umeongea point, Hii system mpya ya anaekuwa mwenyeji kuchukua mapato yote ndo inafanya Simba wawe kimya Ila next game Simba atakuwa mwenyeji itakuwa ni full vispika mtaani..Hasani bumbuli alishawahi kulalamika pia kwenye mechi ya simba na yanga wakati huo simba ni mgeni kwenye hyo mechi na yanga ndo mwenyeji akisema simba wana roho mbaya kwa nn hawaongelei mechi yao wanaona wao watapata hela nyingi wamesahau walivyojiita team ya wananchi.
Sijaelewa, kwanini Ali Kamwe ahangaishwe na ukimya wa Simba? Nimekuja gundua wakati sisi Yanga tunahangaika sana na hii mechi wenzetu wanaichukulia ni mechi ya kawaida tu.
Hawajaamua kuwekeza nguvu nyingi sana, jambo ambalo pia ni kama limeanza kututesa. Ali Kamwe limemgusa, anaona kama jamaa wamenyamaza na hawatoi kiki. Yanga nasi tujikite katika mechi za Kimataifa zaidi.
Najua povu litawatoka watu, acha limwagike tu.