Simba wameamua kupuuzia mechi na Yanga? Hili jambo nalo pia linatutesa sisi Yanga

Simba wameamua kupuuzia mechi na Yanga? Hili jambo nalo pia linatutesa sisi Yanga

Wekeni kina Okwa mpigwe ndo mtaona ukali wa mashabiki wa Simba. Kama mashabiki walisababisha timu kuondoka uwanjani baada ya dk45 tu baada ya kupigwa 4 kabla ya halftime itakuwa kipindi hiki ambacho kila kitu kinakuwa live?
Lini na wapi hiyo?
 
Mbona kauli ya kusema simba atapigwa kama ngoma ya mdundiko sijaisikia safari hii.[emoji1787][emoji1787] woga umewaingia hahaa
 
Sijaelewa, kwanini Ali Kamwe ahangaishwe na ukimya wa Simba? Nimekuja gundua wakati sisi Yanga tunahangaika sana na hii mechi wenzetu wanaichukulia ni mechi ya kawaida tu.

Hawajaamua kuwekeza nguvu nyingi sana, jambo ambalo pia ni kama limeanza kututesa. Ali Kamwe limemgusa, anaona kama jamaa wamenyamaza na hawatoi kiki. Yanga nasi tujikite katika mechi za Kimataifa zaidi.

Najua povu litawatoka watu, acha limwagike tu.
Kwa wale ambao mmeshakaa sana porini ... ukiingia kwenye msitu wenye simba halafu huwaoni wakizurura zurura aisee kimbia haraka utafute mahali palipo salama maana ukiendelea kukaza shingo utakufa vibaya... kinachowatesa kisaikolojia wenzetu saivi ni ukimya wa SIMBA SC hii si ishara nzuri kwao... kesho kuna mtu anaenda kupasuliwa goli za maumivu mno..
 
Kuanzia leo naamua kukuongeza kwenye ili list ya Mzee Manara na Mzee kikwete sasa mpo watatu 🥲
 
Simba wakae kimya, wapige kelele haiondoi uhalisia wa wao kufungwa. Na baada ya mechi mtakuja na hoja za uchawi, kuhonga Marefa n.k.
Yanga hawajawahi kuwa na utani kwenye Mechi na Simba na ndio mechi zinazo mrahisishia kutwaa ubingwa.
Kama Simba wao awajali kufungwa na Yanga ilo ni Jambo jema Kwa Yanga.
 
Hasani bumbuli alishawahi kulalamika pia kwenye mechi ya simba na yanga wakati huo simba ni mgeni kwenye hyo mechi na yanga ndo mwenyeji akisema simba wana roho mbaya kwa nn hawaongelei mechi yao wanaona wao watapata hela nyingi wamesahau walivyojiita team ya wananchi.
 
Mbona humu Kila siku zinaanzishwa nyuzi zaidi ya tano kuongelea Mechi hii
Tena waanzishaji wa hizo nyuzi ni mashabiki wa simba
Yaani mnajitekenya na kucheka wenyewe
Hamuiwazii Mechi ambayo Kila siku mnaifunglia mijadala, real?
 
Wekeni kina Okwa mpigwe ndo mtaona ukali wa mashabiki wa Simba. Kama mashabiki walisababisha timu kuondoka uwanjani baada ya dk45 tu baada ya kupigwa 4 kabla ya halftime itakuwa kipindi hiki ambacho kila kitu kinakuwa live?
Hivi wewe si ndiye uliyesema Yanga akifungwa na Al Hilal unatoka JF mwezi mzima, sasa huku umekuja kufuata nini ama mechi haijachezwa bado?
 
Sio wanapuuzia......Simba hii mechi sio yao kimapato maana Yanga ndio mwenyeji so ataondoka na mapato yote....Simba kuwakomoa Yanga hawaongei lolote ili washabiki wasijae uwanjani especially wa Simba.....ili Yanga wakose mapato.....In turn around angalia game ya pili itakavyokuwa....Yanga nao watakaa kimya

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Makolo wanaongea sana, leo wanajifanya hawajui kama wana mechi kesho... thubutuu, roho zinawadunda huko walipo. Waacheni waongee uzuri wakifungwa wanaufyata mkia wao...
 
Hasani bumbuli alishawahi kulalamika pia kwenye mechi ya simba na yanga wakati huo simba ni mgeni kwenye hyo mechi na yanga ndo mwenyeji akisema simba wana roho mbaya kwa nn hawaongelei mechi yao wanaona wao watapata hela nyingi wamesahau walivyojiita team ya wananchi.
Leo umeongea point, Hii system mpya ya anaekuwa mwenyeji kuchukua mapato yote ndo inafanya Simba wawe kimya Ila next game Simba atakuwa mwenyeji itakuwa ni full vispika mtaani..
 
We we jamaa mwenyeji wa mechi lazima aangaike kozi yeye ndo anaipromote mechi ni ya kwake mechi ya marudiano pia simba ndio wataonekana wanaitaka sana mechi sababu watakuwa wenyeji lazima nao wahamasishe watu waje uwanjan si unajua tena suala la mapato
 
Sijaelewa, kwanini Ali Kamwe ahangaishwe na ukimya wa Simba? Nimekuja gundua wakati sisi Yanga tunahangaika sana na hii mechi wenzetu wanaichukulia ni mechi ya kawaida tu.

Hawajaamua kuwekeza nguvu nyingi sana, jambo ambalo pia ni kama limeanza kututesa. Ali Kamwe limemgusa, anaona kama jamaa wamenyamaza na hawatoi kiki. Yanga nasi tujikite katika mechi za Kimataifa zaidi.

Najua povu litawatoka watu, acha limwagike tu.
 
Attachments

  • FfVOQH-XoAEfB5l.jpeg
    FfVOQH-XoAEfB5l.jpeg
    45.4 KB · Views: 3
Back
Top Bottom