SIMBA wamefanya utoto sana kwa hili na kipigo kwao hakikwepeki

SIMBA wamefanya utoto sana kwa hili na kipigo kwao hakikwepeki

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
16,911
Reaction score
28,469
I salute you kinsmen
Hii team yenu ya simba imejaa utoto

Walifanya kukaa kimya eti ili yanga wakose mapato.

Nani kawadanganya kuwa watu hawataoingia?? Msipoingia basi wanayanga wataujaza na hivi wana ugwadu na nyie
Mkiingia tu tunafunga mageti hatutaki mkimbie tena.

Hamna tofauti na malaya mdangaji wanasimba mlikula hela za wanaume na kukileta kisuguliwe hadi kichanganyikiwe ndio hamtaki.

Hatimaye shida ilipowazidia na pesa za wanaume mnataka ndio mkaamua kukileta leo kidume yanga asugue

Sasa mjiandae yanga 4
Simba 0
 
Kweli nyie mazuzu...Simba inahusika vipi na nyie ndo wenyeji....
 
Tena utoto wa hali ya juu japo kwa kuwa wenyewe ni Mambumbumbu watajiona walikuwa sawa eti. Lol
Imagine na sisi tukiwafanyia hivyo msimu ujao wakiwa wenyeji itakuwaje

Wanadhani wakifanya hivi mechi itakosq mvuto
 
Sasa una nguvu kweli za kiume wewe jamani...utawezana na kisugu ww...
Mrembo tuu wewe...
Poa kisugu
1748715951803.jpg
 
Back
Top Bottom