Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,899
- 73,370
Usiache kuja basi mama la mamaPoa kisugu
Usiache kuja basi mama la mamaPoa kisugu
Hahahaaa. Akili zao Mbumbumbu ndo zimeishia hapo Mkuu.Imagine na sisi tukiwafanyia hivyo msimu ujao wakiwa wenyeji itakuwaje
Wanadhani wakifanya hivi mechi itakosq mvuto
Kwanza hii mess yote wao ndio chanzo wametuchelewesha ubingwa tu ila kukandwa hakukwepekiHahahaaa. Akili zao Mbumbumbu ndo zimeishia hapo Mkuu.
Wako zama za kale. 🤣🤣
Sawa bwana kisugu jiandae tu kwa kupigwa bao 4Mama la mama Its Pancho mkishinda nakulipia kodi ya mwaka mzima...
Bibie usijali kwa hilo ww jiandae nikulipie chumba mwaka mzima....Sawa bwana kisugu jiandae tu kwa kupigwa bao 4
View attachment 3382531
DaaahHahahaaa. Akili zao Mbumbumbu ndo zimeishia hapo Mkuu.
Wako zama za kale. 🤣🤣
Unadhani Mtani, mliyoyafanya ni mambo ya kizamani hasaa.Daaah
😎
Kikubwa bingwa apatikane leo.Unadhani Mtani, mliyoyafanya ni mambo ya kizamani hasaa.
All in all mnahitaji kujua kuwa mpira sio uadui.
Hahahaaa. Ni vizuri wakipimwa Mtani ili kuondoa na kuwakomesha huo uongo mlioaminishwa na mkakubali kuwa ni kweli.Kikubwa bingwa apatikane leo.
Ngoja wapimwe mkojo kwanza, maana CEO mmoja wa hizo timu ana kashfa ya matumizi ya hizo vitu kule atokako na hapa nchini alishawahi kuhamisha timu uwanja pale Azam Complex.
Simba wapuuzi sana, hata msimu uliopita ilikuwa hivi hivi. Unajua hii mechi inaleta mashabiki wengi kwa hiyo Ina mchango kwenye kuangalia mapato kwa mwaka na timu iliyoingiza mashabiki wengi. Kwa hiyo hii inapunguza kwa Yanga. Msimu ukiisha watajisifu.I salute you kinsmen
Hii team yenu ya simba imejaa utoto
Walifanya kukaa kimya eti ili yanga wakose mapato.
Nani kawadanganya kuwa watu hawataoingia?? Msipoingia basi wanayanga wataujaza na hivi wana ugwadu na nyie
Mkiingia tu tunafunga mageti hatutaki mkimbie tena.
Hamna tofauti na malaya mdangaji wanasimba mlikula hela za wanaume na kukileta kisuguliwe hadi kichanganyikiwe ndio hamtaki.
Hatimaye shida ilipowazidia na pesa za wanaume mnataka ndio mkaamua kukileta leo kidume yanga asugue
Sasa mjiandae yanga 4
Simba 0
Tulia mkuu baada ya DK 90Nani wa kumfunga?