Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Acha kisilaniMama la mama Its Pancho kwenye umbea unataka Simba wafanye kama unavyotaka ww ni nani? Nyie kama nani...
Sema kisirani ww mnyambo..Acha kisilani
Nakupenda mrembo wangu KisuguSema kisirani ww mnyambo..
kumbe ni mrembo..huogopi kubananishwa...Nakupenda mrembo wangu Kisugu
Leo nakupiga bao 4 we kisugu sijali wewe mwanaume nakupigq hivyo hivyoMama la mama Its Pancho kwenye umbea unataka Simba wafanye kama unavyotaka ww ni nani? Nyie kama nani...
Mkuu umenichekesha sanaš¤£Nakupenda mrembo wangu Kisugu
Imagine na sisi tukiwafanyia hivyo msimu ujao wakiwa wenyeji itakuwajeTena utoto wa hali ya juu japo kwa kuwa wenyewe ni Mambumbumbu watajiona walikuwa sawa eti. Lol
Wewe si mwanamke mmbea utaachaje kucheka cheka ubwabwaa...Mkuu umenichekesha sanaš¤£
Nani wa kumfunga?Yanga anakufa leo
Kwa sababu mpaka yeye amegundua na wewe ni dume bwana kisugu sasa kwanini nisicheke umegundulika?Wewe si mwanamke mmbea utaachaje kucheka cheka ubwabwaa...
Sasa una nguvu kweli za kiume wewe jamani...utawezana na kisugu ww...Leo nakupiga bao 4 we kisugu sijali wewe mwanaume nakupigq hivyo hivyo
Poa kisuguSasa una nguvu kweli za kiume wewe jamani...utawezana na kisugu ww...
Mrembo tuu wewe...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mama la mama Its Pancho kwenye umbea unataka Simba wafanye kama unavyotaka ww ni nani? Nyie kama nani...
Aah sema unanionea tuu wivu mrembo...huna kingine nimegundua ni wivuuu....hutaki wengine waniite...Kwa sababu mpaka yeye amegundua na wewe ni dume bwana kisugu sasa kwanini nisicheke umegundulika?