SIMBA wamefanya utoto sana kwa hili na kipigo kwao hakikwepeki

Hahahaaa. Akili zao Mbumbumbu ndo zimeishia hapo Mkuu.

Wako zama za kale. 🤣🤣
Kwanza hii mess yote wao ndio chanzo wametuchelewesha ubingwa tu ila kukandwa hakukwepeki

Hapo walikaa wakafikiria wakaona japo ndiyo wamepatia
 
Unadhani Mtani, mliyoyafanya ni mambo ya kizamani hasaa.

All in all mnahitaji kujua kuwa mpira sio uadui.
Kikubwa bingwa apatikane leo.

Ngoja wapimwe mkojo kwanza, maana CEO mmoja wa hizo timu ana kashfa ya matumizi ya hizo vitu kule atokako na hapa nchini alishawahi kuhamisha timu uwanja pale Azam Complex.
 
Kikubwa bingwa apatikane leo.

Ngoja wapimwe mkojo kwanza, maana CEO mmoja wa hizo timu ana kashfa ya matumizi ya hizo vitu kule atokako na hapa nchini alishawahi kuhamisha timu uwanja pale Azam Complex.
Hahahaaa. Ni vizuri wakipimwa Mtani ili kuondoa na kuwakomesha huo uongo mlioaminishwa na mkakubali kuwa ni kweli.
 
Simba wapuuzi sana, hata msimu uliopita ilikuwa hivi hivi. Unajua hii mechi inaleta mashabiki wengi kwa hiyo Ina mchango kwenye kuangalia mapato kwa mwaka na timu iliyoingiza mashabiki wengi. Kwa hiyo hii inapunguza kwa Yanga. Msimu ukiisha watajisifu.
 
Simba haijawahi kusema 'hatuchezi' baada ya fixture ya tarehe 25 kutangazwa. Fixture inajielezea , sasa unaposema walikaa kimya unashangaza utopolo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…