Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Wakuu, hivi hawa Simba Scouting yao ipoje? Yaan wamemuacha Zimbwe Jr eti Zimbwe Mzee? Nyie Simba mna akili kweli nyie Zimbwe Jr Mzee? Wakati Zimbwe Jr anapiga mpira vizuri sana tu, sasa mmemuacha Yanga wamemchukua subirini kufungwa na Zimbwe Jr.
Mlianza na Shomari Kapombe, Show Me The Way "Baba Ester" mkasema Oh Kapombe Mzee hatumtaki Yanga wakachungulia wakaiona Fursa wakamchukua, Kapombe mkimuacha tu anaenda Yanga, Jana Kapombe kawaonyesha kwamba yeye sio Mzee nyie Simba mnaohisi Kapombe Mzee nyie ndio Mmezeeka. Kapombe kapiga goli matata na ile shangilia yake ilikua inatoa tafasiri moja kubwa sana kwa wale Wazee wote waliokua wanasema Kapombe Mzee naona alikua anawaambia kwamba wao ndio wamezeeka.
Mnasemaje Zimbwe Jr Mzee? Mshakula hasara tayari. Msimu ujao andaeni kapu la Magoli mapema sana.