Simba Wamekula Hasara, Oh Zimbwe Jr Mzee hatumtaki, Yanga wakachungulia Wakaiona Fursa Wakamchukua

Wakuu, hivi hawa Simba Scouting yao ipoje? Yaan wamemuacha Zimbwe Jr eti Zimbwe Mzee? Nyie Simba mna akili kweli nyie Zimbwe Jr Mzee? Wakati Zimbwe Jr anapiga mpira vizuri sana tu, sasa mmemuacha Yanga wamemchukua subirini kufungwa na Zimbwe Jr.

Mlianza na Shomari Kapombe, Show Me The Way "Baba Ester" mkasema Oh Kapombe Mzee hatumtaki Yanga wakachungulia wakaiona Fursa wakamchukua, Kapombe mkimuacha tu anaenda Yanga, Jana Kapombe kawaonyesha kwamba yeye sio Mzee nyie Simba mnaohisi Kapombe Mzee nyie ndio Mmezeeka. Kapombe kapiga goli matata na ile shangilia yake ilikua inatoa tafasiri moja kubwa sana kwa wale Wazee wote waliokua wanasema Kapombe Mzee naona alikua anawaambia kwamba wao ndio wamezeeka.

Mnasemaje Zimbwe Jr Mzee? Mshakula hasara tayari. Msimu ujao andaeni kapu la Magoli mapema sana.
maneno mengi usione aibu kusema taifa stars imebebwa na simba jana,bila wachezaji wa simba taifa ingepata aibu kubwa
 
Wakuu, hivi hawa Simba Scouting yao ipoje? Yaan wamemuacha Zimbwe Jr eti Zimbwe Mzee? Nyie Simba mna akili kweli nyie Zimbwe Jr Mzee? Wakati Zimbwe Jr anapiga mpira vizuri sana tu, sasa mmemuacha Yanga wamemchukua subirini kufungwa na Zimbwe Jr.

Mlianza na Shomari Kapombe, Show Me The Way "Baba Ester" mkasema Oh Kapombe Mzee hatumtaki Yanga wakachungulia wakaiona Fursa wakamchukua, Kapombe mkimuacha tu anaenda Yanga, Jana Kapombe kawaonyesha kwamba yeye sio Mzee nyie Simba mnaohisi Kapombe Mzee nyie ndio Mmezeeka. Kapombe kapiga goli matata na ile shangilia yake ilikua inatoa tafasiri moja kubwa sana kwa wale Wazee wote waliokua wanasema Kapombe Mzee naona alikua anawaambia kwamba wao ndio wamezeeka.

Mnasemaje Zimbwe Jr Mzee? Mshakula hasara tayari. Msimu ujao andaeni kapu la Magoli mapema sana.
Zimbwe ajaachwa kwa sababu ya kuwa mzee Zimbwe kaachwa alikuwa na ukaribu na Eng alikuwa na mawasiliano nae mwaka wa tatu huu viongozi wa Simba wakatuma Mashushushu wao, kupeleleza kama wakati ule walivyompeleleza Manara alipokuwa Simba lakini akili yote ilikuwa Avic town mwisho wa siku wakaona isiwe tabu Simba wakaona wamuache awe huru wakagoma kuongeza Kandarasi kwa Zimbwe.
 
Kwa hio Mangungu ndio umemtuma Try Again aje hapa kwenye hii press aitetee Simba kwamba haikumuacha Zimbwe Jr sababu Mzee ila sababu ya ukaribu na Eng si ndio?
 
Wakuu, hivi hawa Simba Scouting yao ipoje? Yaan wamemuacha Zimbwe Jr eti Zimbwe Mzee? Nyie Simba mna akili kweli nyie Zimbwe Jr Mzee? Wakati Zimbwe Jr anapiga mpira vizuri sana tu, sasa mmemuacha Yanga wamemchukua subirini kufungwa na Zimbwe Jr.

Mlianza na Shomari Kapombe, Show Me The Way "Baba Ester" mkasema Oh Kapombe Mzee hatumtaki Yanga wakachungulia wakaiona Fursa wakamchukua, Kapombe mkimuacha tu anaenda Yanga, Jana Kapombe kawaonyesha kwamba yeye sio Mzee nyie Simba mnaohisi Kapombe Mzee nyie ndio Mmezeeka. Kapombe kapiga goli matata na ile shangilia yake ilikua inatoa tafasiri moja kubwa sana kwa wale Wazee wote waliokua wanasema Kapombe Mzee naona alikua anawaambia kwamba wao ndio wamezeeka.

Mnasemaje Zimbwe Jr Mzee? Mshakula hasara tayari. Msimu ujao andaeni kapu la Magoli mapema
Yanga mnasherehekea kumsajili Zimbwe, kweli dunia ina mambo.
 
Wakuu, hivi hawa Simba Scouting yao ipoje? Yaan wamemuacha Zimbwe Jr eti Zimbwe Mzee? Nyie Simba mna akili kweli nyie Zimbwe Jr Mzee? Wakati Zimbwe Jr anapiga mpira vizuri sana tu, sasa mmemuacha Yanga wamemchukua subirini kufungwa na Zimbwe Jr.

Mlianza na Shomari Kapombe, Show Me The Way "Baba Ester" mkasema Oh Kapombe Mzee hatumtaki Yanga wakachungulia wakaiona Fursa wakamchukua, Kapombe mkimuacha tu anaenda Yanga, Jana Kapombe kawaonyesha kwamba yeye sio Mzee nyie Simba mnaohisi Kapombe Mzee nyie ndio Mmezeeka. Kapombe kapiga goli matata na ile shangilia yake ilikua inatoa tafasiri moja kubwa sana kwa wale Wazee wote waliokua wanasema Kapombe Mzee naona alikua anawaambia kwamba wao ndio wamezeeka.

Mnasemaje Zimbwe Jr Mzee? Mshakula hasara tayari. Msimu ujao andaeni kapu la Magoli mapema sana.
Moja kati ya ndoto za yanga ni kua na sim

Ndoto
Z

Ndoto za yanga ni kua na kikosi cha Simba 2020/2021 sababu ndio kikosi Bora Tanzania kwa muda wotee. Mchukueni Bwalya na Mikson
 
1000332708.jpg
 
Back
Top Bottom