Simba Wamekula Hasara, Oh Zimbwe Jr Mzee hatumtaki, Yanga wakachungulia Wakaiona Fursa Wakamchukua

Zimbwe aende tu.. alitu cost mwaka jana. Kasi imepungua sana, poor positioning, etc.

Hakuna kipya, Mkude, Chama wamestaafia utopoloni
 
Zimbwe aende tu.. alitu cost mwaka jana. Kasi imepungua sana, poor positioning, etc.

Hakuna kipya, Mkude, Chama wamestaafia utopoloni
Ndio atakua mwiba wenu msimu ujao andaeni kapu la magoli na Kapombe si mnasema Mzee si ndio?
 
Hii tabia ya Yanga kusajili makapi ya Simba tuiache
 
Hivi huoni kama hana uwezo wa kumaliza mechi?
 
Sawa,mmemchukua tuone mafanikio yeni in this year
 
Hivi huoni kama hana uwezo wa kumaliza mechi?
Mechi ipi na huku anacheza vipindi vyote viwili dakika 90 na nyongeza yupo uwanjani unazungumzia kumaliza mechi ipi kwani yeye refa?
 
Uliona vizuri mashambulizi yalivyokuwa ya uhakika yakitokea upande wa kulia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…