Simba wameroga mpaka magoli ya Yanga leo

Simba wameroga mpaka magoli ya Yanga leo

buhoro ksl

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2019
Posts
248
Reaction score
246
Hii klabu ya Simba tangu zamani imeundwa kwa mifumo ya kishirikina shirikina, jana walitakiwa wafunge goli 3-0, nikiwa na maana ya yanga leo naye kushinda bao 4-0.

Tatizo linaanza mchezo wa jana mipira miwili tu ndio ilihusika na kwa mara ya kwanza kwenye historia nimeona maajabu ya mpira kuandikwa kwa megapen tena mechi ya mashindano makubwa kama ile

Makolo Makolo Makolo nimewaita mara tatu chezeni mpira acheni uchawi

Nb: Uchawi mwisho ni robo fainali
 
Leo kila mtu ataandika faraja [emoji23]
IMG-20230318-WA0152.jpg
 
Hii klabu ya Simba tangu zamani imeundwa kwa mifumo ya kishirikina shirikina, jana walitakiwa wafunge goli 3-0, nikiwa na maana ya yanga leo naye kushinda bao 4-0...

Acha stress jombaa.... ushagundua leo mnapakatwa unataka kuleta lawama kwa simba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila mtu ashinde mechi zake man
 
😂😂😂😂🤭 Yaan we mwamba hutaki stress kabisa 😍
Maisha yenyewe haya haya tu,yanini nife mapema
Jana nilibana mbupu weee Ili mgongeswe shoo,wapiii

Lilivyoingia lile goli la Cama lile alilowachambua mabeki ya Horoya Kama karanga uzalendo ukanishinda,ghafla nikajikuta nipo wima nalishangilia lile goli

Mke anipe stress,wanafunzi shuleni wanipe stress hujasahau madeni ya hapa na pale,du
Nikiyaendekeza si nitakufa kabla ya siku zangu kama nitaziongezea na stress za kumchukia Simba

Makolo jana mmetuheshimisha,wageni wataogopa kuja bongo
 
Back
Top Bottom