Simba wameroga mpaka magoli ya Yanga leo

Simba wameroga mpaka magoli ya Yanga leo

Mada yako inatekenya kweli....hatutaki kucheka asubuhi asubuhi.....em naomba nijibu swali hili mkuu:HOW MANY DAYS IN THE WEEK?
Akikujibu nitag.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanga anafungwa au sare,na ikishakuwa hivo maana yake ni kuwa Tp mazembe anashinda kule kwa Bamako na kisha anamsubiri yanga kwa hamu pale Lubumbashi amfanyie circumcision afikishe points 9 yanga abaki na points 7 au 8 zake.

Yanga hafuzu,nipo paleeee....
 
Maisha yenyewe haya haya tu,yanini nife mapema
Jana nilibana mbupu weee Ili mgongeswe shoo,wapiii

Lilivyoingia lile goli la Cama lile alilowachambua mabeki ya Horoya Kama karanga uzalendo ukanishinda,ghafla nikajikuta nipo wima nalishangilia lile goli

Mke anipe stress,wanafunzi shuleni wanipe stress hujasahau madeni ya hapa na pale,du
Nikiyaendekeza si nitakufa kabla ya siku zangu kama nitaziongezea na stress za kumchukia Simba

Makolo jana mmetuheshimisha,wageni wataogopa kuja bongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeeeeeeeeeeeh!!!!
 
Back
Top Bottom