Simba wameroga mpaka magoli ya Yanga leo

Simba wameroga mpaka magoli ya Yanga leo

Maisha yenyewe haya haya tu,yanini nife mapema
Jana nilibana mbupu were Ili mgongeswe shoo,wapiii

Lilivyoingia lile goli la Cama lile alilowachambua mabeki ya Horoya Kama karanga uzalendo ukanishinda,ghafla nikajikuta nipo wima nalishangilianlile goli

Mke anipe stress,wanafunzi shuleni wanipe stress sinnitakufa kabla ya siku zangu kama nitaziongezea na stress za kumchukia Simba

Makolo jana mmetuheshimisha,wageni wataogopa kuja bongo
😍😍😍You are such a kind man.....maisha yenyewe haya ....mafupii stress za nini
 
Hii klabu ya Simba tangu zamani imeundwa kwa mifumo ya kishirikina shirikina, jana walitakiwa wafunge goli 3-0, nikiwa na maana ya yanga leo naye kushinda bao 4-0.

Tatizo linaanza mchezo wa jana mipira miwili tu ndio ilihusika na kwa mara ya kwanza kwenye historia nimeona maajabu ya mpira kuandikwa kwa megapen tena mechi ya mashindano makubwa kama ile

Makolo Makolo Makolo nimewaita mara tatu chezeni mpira acheni uchawi

Nb: Uchawi mwisho ni robo fainali
Si tulikubaliana kuwa kila mtu ashinde mechi zake sasa haya mayowe ya nini tena jamani?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo Ndugu Mshana sasa hivi Simba tuna kikosi bora na kipana, tuna Kocha bora wala hatuna mapungufu yoyote na tutegemee kubeba kombe la CAF, au jana tulikutana na mfano wa timu tukajitandikia kisawasawa?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwenye mashindano yote ya CAF tangu ianzishwe hakujawahi kutokea ushindi mnono wa kifurushi cha magoli kama alivyofanya jana SIMBA kwa Horoya.. Hayo mengine siyajui
Screenshots_2023-03-19-08-15-41.jpg
 
Kibongobongo hakuna timu inayotisha kwa ushirikina kama yanga
Hao ni noma, ndio wanaoongoza kupigwa faini na Bodi ya ligi kila mwaka kwa kosa la kuingia viwanjani kwa kuacha kutumia geti kuu.
 
Back
Top Bottom