Simba wameroga mpaka magoli ya Yanga leo

😍😍😍You are such a kind man.....maisha yenyewe haya ....mafupii stress za nini
 
Si tulikubaliana kuwa kila mtu ashinde mechi zake sasa haya mayowe ya nini tena jamani?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwenye mashindano yote ya CAF tangu ianzishwe hakujawahi kutokea ushindi mnono wa kifurushi cha magoli kama alivyofanya jana SIMBA kwa Horoya.. Hayo mengine siyajui
 
Kibongobongo hakuna timu inayotisha kwa ushirikina kama yanga
Hao ni noma, ndio wanaoongoza kupigwa faini na Bodi ya ligi kila mwaka kwa kosa la kuingia viwanjani kwa kuacha kutumia geti kuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…