Yani wewe una WENGE kweli kweli sijui umekula maharagwe ya wapi wewe..
Kanun zipo hivi... Timu ikimhitaji mchezaji inaandika barua kwa timu atokayo mchezaji then wakiridhiana kwenye terms mchezaji anapewa release leter anaondoka
Sasa kwa kuwa akili za mijitu ya yanga zimechakaa kama jengo lao wanalazimisha eti lazima smba wampe barua morisson
Narudia tena fuateni sheria waandikieni barua mabingwa mara nne "mfulilizo" waelezeni shida zenu za nyuma zitatatuliwa.
Kama Al-ahly walifanya hivyo kwa Luis, berkane walifanya hivyo kwa Chama, Tp mazembe walifanya hivyo kwa Sammata nyie vyura ni nani msifuate utaratibu pumbavvvvvv?