Simba wanaonesha utoto kwa Morrison na wachezaji wa kigeni

Simba wanaonesha utoto kwa Morrison na wachezaji wa kigeni

Simba haionyeshi ukomavu kwenye soka hata baada ya kufikisha miaka zaidi ya 80 tangu kuanzishwa kwake.

Kila mtu waliwasikia viongozi wa Simba wakimuaga na kumtakia kheri Morrison huko aendako wakimaanisha kuwa aende mbele kwa mbele huko hata kabla ya msimu kumalizika kuonyesha kuwa hawana kazi nae tena.

Huu ni msimu wa usajili kwa wachezaji duniani kote hivyo Morrison alipaswa kupewa barua yake ili imsaidie kupata timu popote duniani.

Kitendo cha Simba kumnyima barua mchezaji ambae hawana kazi nae hata baada ya mchezaji kuiomba sio kitendo cha uungwana kwa Morrison aliyeitumikia Simba kwa mapenzi makubwa sana.

Kitendo hiki sio tu kwamba kitaipa Simba laana kubwa lakini kitawaohopesha na kiwatia hofu wachezaji wengine wa kigeni kwenye club ya Simba.

Uhasama wa Simba na Yanga usivuke viwango vya mpira. Mpira ni maisha ya wachezaji. Morrison asiposajiliwa hasara haiendi kwa Yanga bali kwa Morrison kwakuwa Yanga Ina wachezaji wengi wazuri kama au zaidi ya Morrison.

Hii itaitia Simba hasara, maana wachezaji wengi wa kigeni ipo siku Simba haitakuwa chaguo lao la kwanza kujiunga nayo.
Sawa walisema huko aendako yaani baada ya kuhitimisha mkataba maana hawakusudii kumpa mkataba mwingine. Hilo ni jambo la heri ili aanze mapema kujiandaa kabla mkataba haujaisha. Au ulitaka simba isimpe taarifa mapema hadi siku yamwisho ya mkataba wake? Kwa hili simba inahitaji pongezi na sio lawama! Lakini ana haki ya kununua siku zake zilizobaki kwenye mkataba wake au kama kweli kapata timu, basi hiyo timu ilete ofa yake kwa uongozi wa simba. Taratibu zinataka hivyo!!
 
tunaongea lugha ya soka na sio kutetea mtu. Morrison aliitenda hata yanga, hata kaizer chiefs, lakini hiyo haisababishi tufanye unsporting behavours kwa mchezaji. Huu ni wakati wa usajili mpeni ruhusa akahangaike na changamoto mpya. Huyu Morrison hatofautiani sana na Emmanuel Okwi kitabia.
Utaratibu unataka timu inayomhitaji BM kuwasiliana na simba na kuleta ofa yake, au BM anunue sehemu yake ya mkataba iliyobaki au nasubiri mkataba uishe ndoi awe huru (free agent). Achague moja kati ya hayo matatu!! Mbona ni rahisi tu!! MB na wa wapambe wake mnakwama wapi?
 
10 days to go na kumfukuza wenyewe!!! ndio uzuie release letter ya mchezaji aliyewapa raha siku zote hizo, shame on you. Historia itawahukumu kama ile ya manara. Malipo ni hapahapa duniani.
mkuu we una tatizo la kutoelewa ,Morison angepewa release letter bila mkataba kwisha angeweza kushitaki simba kwa CAF kwamba wamemvunjia mkataba ,mchezaji mwenyewe kila anapopita ana matatizo ya kimkataba why simba ifanye makosa madogo
 
sio kweli, kama Morrison angekuwa anajiunga na timu ya Azam au namungo hadithi ingekuwa tofauti. Tunachosema sisi huku ni kusahau mchango wa morrison kizembe kabisa, lakini ni awaking call kwa wachezaji wenu wengine wa kigeni, maana wakati mwenzao Morrison akinyolewa wao wanajiandaa kwa kuweka maji nywele zao. Unajengea hofu wachezaji wenu bila sababu za msingi kabisa, maana Morrison ana marafiki wengi ndani ya wachezaji wa Simba waliobaki ambao hawapendi kuona Morrison anaharibiwa maisha na career yake kizembe hivyo.
Ni sawa kabisa wachezaji wetu wote wa kigeni inabidi wajue kuwa watalazimika kuheshimu na kuifuata mikataba yao. Na kama wakitaka kuivunja wafuate njia stahiki za kuvunja mkataba!! Hatutaki wachezaji wa kigeni wajue kuwa wanaweza kuvunja mkataba kienyeji kama BM anavyotaka. Kwanza ashukuru kuwa alitaarifiwa mapema kuhusu kutoongezewa mkataba na kutakiwa heri huko atakakoenda baada ya mkataba wake kuisha!!
 
mkuu we una tatizo la kutoelewa ,Morison angepewa release letter bila mkataba kwisha angeweza kushitaki simba kwa CAF kwamba wamemvunjia mkataba ,mchezaji mwenyewe kila anapopita ana matatizo ya kimkataba why simba ifanye makosa madogo
Na ndicho hasa ambacho BM alichokuwa anataka!! Huo mkenge akawaingize hao wanaojiita "wananchi". Alikuwa anataka aiingize mkenge simba ili adai fidia ya mamilioni ya fedha!!
 
Kama amemaliza mkataba release letter ya nn?
Ndo hapo sasa!! Alikuwa anaitaka release letter kama ushahidi wa kuvunjiwa mkataba wake na simba ili adai fidia ya mamilioni ya fedha!! Huo mkenge wa kitoto akawaingize hao wanaodai ni timu ya "wananchi"!!
 
Tatizo mnamsikiliza yule nguruwe pori wenu aka msekule simba haina shida na Morrison ameelekezwa kwamba kama anataka kuondoka aandike barua na akubali kusitisha mishahara iliyobakiwa we hujui kama Morrison kaweka mtego,

hapo akienda FIFA akidai mishahara iliyobakia na kuvunjiwa mkataba hyo kesi tayari kiufupi simba kuna wasomi wanaojua mambo kuliko yanga ndo maana kila kitu yanga mnaiga simba.
 
mchezaji mmeshamtupia virago, mkataba wake umekwisha na msimu umekwisha, mpeni barua yake akahangaike huko aendako.

Ni sheria gani ya TFF/cecafa/caf/fifa inayokataza mchezaji aliyemaliza mkataba wake kupewa release letter yeye mwenyewe? Ndio maana mtapata taabu sana, maana hamkui, mmedumaa.
Morrison bado hajamaliza mkataba na Simba, elewa hilo kwanza. Kwa aina ya mchezaji kama BM3 ni rahisi kupeleka kesi mahakamani kudai fidia ya kuvunjiwa mkataba na Simba.

Kama mshahara unaingia kipindi chote alichokuwa nje ya timu mbona hatukuwaona nyie ‘watetea haki za wachezaji wa kigeni’ mkitaka asilipwe kwasababu hafanyi kazi?!

Ni muhimu kuzingatia taratibu na sheria za mikataba baina ya pande zote.
 
Wewe shida zako za
Yani wewe una WENGE kweli kweli sijui umekula maharagwe ya wapi wewe..

Kanun zipo hivi... Timu ikimhitaji mchezaji inaandika barua kwa timu atokayo mchezaji then wakiridhiana kwenye terms mchezaji anapewa release leter anaondoka

Sasa kwa kuwa akili za mijitu ya yanga zimechakaa kama jengo lao wanalazimisha eti lazima smba wampe barua morisson

Narudia tena fuateni sheria waandikieni barua mabingwa mara nne "mfulilizo" waelezeni shida zenu za nyuma zitatatuliwa.

Kama Al-ahly walifanya hivyo kwa Luis, berkane walifanya hivyo kwa Chama, Tp mazembe walifanya hivyo kwa Sammata nyie vyura ni nani msifuate utaratibu pumbavvvvvv?

Wewe shida zako umetatuliwa?
 
.
 
Attachments

  • 20220624_054432.jpg
    20220624_054432.jpg
    51.3 KB · Views: 5
Hakuna anaekataa kuwa Morrison ni mchezaji halali wa Simba aliyebakiza mwezi mmoja kwenye mkataba wake na Simba. Lakini hakuna mtu asiyefahamu kuwa Simba ilimuaga rasmi morrison kuwa hawana Nia ya kuendelea nae kwenye mechi hadi mwisho wa mkataba wake, maana yake aende mbele kwa mbele wasijuane tena. Kuna ubaya gani kwa mchezaji aliyeitumikia timu kwa nguvu, akili na mahaba makubwa kuiomba club yake impe release letter ili awe huru kusajiliwa kwingine mapema? Kumbuka kuwa Kuna timu ambazo hazina uwezo wa kununua mkataba wa mchezaji. Hapa ni swala la roho mbaya linapoingia kwenye hili.
Sheria haitambui mambo mawili ;
1. Busara
2. Roho mbaya
Mkataba wa Morrison na Simba ni suala la kisheria na sio kutumia hisia. Kama Simba watampa release letter watakuwa wamemfukuza rasmi na hivyo kutakiwa kumlipa.
Barbara ni mtu mwenye akili nyingi sana ndio maana hatujaona alipoingiza timu matatizoni kisheria mpaka sasa.
Kama kuna timu inamuhitaji Morrison basi 1. Wanunue mkataba wake au
2. Wasubiri nkataba uishe wamsajili bure kabisa.
3. Morrison aandike yeye barua ya kuvunja mkataba ili aweze kusajiliwa na timu anayotaka kwenda.
 
unaweza tu kuamua kukaza fuvu la kichwa kisa mahaba ......
 
Morrison bado hajamaliza mkataba na Simba, elewa hilo kwanza. Kwa aina ya mchezaji kama BM3 ni rahisi kupeleka kesi mahakamani kudai fidia ya kuvunjiwa mkataba na Simba.

Kama mshahara unaingia kipindi chote alichokuwa nje ya timu mbona hatukuwaona nyie ‘watetea haki za wachezaji wa kigeni’ mkitaka asilipwe kwasababu hafanyi kazi?!

Ni muhimu kuzingatia taratibu na sheria za mikataba baina ya pande zote.
Kama ushahidi wa kuomba release upo atakwendaje mahakamani kudai? Kwanini mhangaike na assumptions, usually, if not always all delayed rights fall under denied rights. Wacha amalize Mkataba wake uliobaki, lakiñi historia itakuja kuwaadhibu vibaya sana.
 
Timu underdog inasajili wachezaji wanaoachwa na timu kubwa.
Mbona sureles alisajiliwa bacelona? Mbona Man U imemsajili Ronaldo, kwahiyo Juventus ni kubwa kuliko man u? Nonsense
 
Sheria haitambui mambo mawili ;
1. Busara
2. Roho mbaya
Mkataba wa Morrison na Simba ni suala la kisheria na sio kutumia hisia. Kama Simba watampa release letter watakuwa wamemfukuza rasmi na hivyo kutakiwa kumlipa.
Barbara ni mtu mwenye akili nyingi sana ndio maana hatujaona alipoingiza timu matatizoni kisheria mpaka sasa.
Kama kuna timu inamuhitaji Morrison basi 1. Wanunue mkataba wake au
2. Wasubiri nkataba uishe wamsajili bure kabisa.
3. Morrison aandike yeye barua ya kuvunja mkataba ili aweze kusajiliwa na timu anayotaka kwenda.
Njaa mbaya sana. Mwamed kafilisika, mnataka kuokoteza kutoka kwa Morrison. Yaani aandike barua ya kivunja mkataba ili alipe hela za kuuvunja, hii yote inaangukia palepale pa kumkomoa mchezaji pengine na kuomba hela kutoka GSM
 
Kuna ishu za kisheria pia, inabidi usizichukulie poa. Unaweza ukampa barua ya kumuachia akaja kugeuza maneno kwamba umemvunjia mkataba, kwa hiyo umlipe mahela mengi mengi kadiri ya mkataba ulivyosema. Kumbuka kuwa Morrison ni wakili msomi 😁
Sheria zipi hizo zisitotambua maridhiano? Kama mchezaji na club mmeamua kuridhina kuachana nani atawashitaki? Mbona sheria zilipindishwa Simba walivyobakishiwa viporo 9 vya ligi ili wapate muda wa kushiri mashindano ya Caf?
 
Mbona sureles alisajiliwa bacelona? Mbona Man U imemsajili Ronaldo, kwahiyo Juventus ni kubwa kuliko man u? Nonsense
Mkuu , morisoni kaachwa na simba kutokana na matatizo yake ya kinidhamu . Yanga wameokota mchezaji aliyeachwa na simba. Hiyo tayari inadhirisha ukubwa wa simba mbele ya Yanga.

Iko hivi, mchezaji akipanda kiwango huwa anasajiliwa na timu kubwa kutoka timu ndogo . Kiwango kikishuka hurudi kwenye timu ndogo. Mifano ni mingi sana sina haja ya kuitaja.Na ndivyo ilivyo kwa morisoni na Yanga yake.
 
Hii nchi ina wajinga wajinga wengi sana aisee

Morisson aliagwa kwamba akatafute timu nyingine Simba HAWAMUHITAJI tena
Na akiipata timu basi iende mezani na Simba kuvunja mkataba wa mchezaji kwakuwa bado ana mkataba

Sasa Uto kama mna mtaka nendeni mezani na Simba mtampata tu
Au subirini hadi mkataba wake utakapokwisha au Simba na morisson wakikubaliana kuvunja mkataba huo

Leo ukitoa barua ya kumuachia maana yake umemvunjia mkataba itabidi simba wamlipe morisson
 
wachezaji wa kigeni hawataiona SIMBA kama chaguo la kwanza maana mnajipaka matope WENYEWE ok ngoja tuone maana muda umesogezwa mbele na Morrison anajikia mshahara wake wa mwezi hadi mwezi wa nane
Wapo watakaoiona. Unawasemea wewe kama nani kwao? Fuateni utaratibu kama mnamtaka Bm3
 
Back
Top Bottom