Simba wanaonesha utoto kwa Morrison na wachezaji wa kigeni

Ulichoandika unakijua mkuu au umejiandikia tu
 
Ndiyo, umeisha baada ya mechi ya mwisho ya Mbeya Kwanza.
Kumbe nilidhani unajua lolote kumbe hakuna kitu unachojua. Kwahiyo kila mchezaji akimaliza mkataba na timu anapewa release letter [emoji23][emoji23][emoji23].
 
Kumbe nilidhani unajua lolote kumbe hakuna kitu unachojua. Kwahiyo kila mchezaji akimaliza mkataba na timu anapewa release letter [emoji23][emoji23][emoji23].
aliiomba kabla ya mechi ya mwisho kuchezwa, huenda alikuwa na kazi nayo lakini alinyimwa. Unajuwa kuna timu nyingi duniani hazipendi kuingia gharama ya kusajiri mchezaji mwenye mkataba, ni ghali.
 
aliiomba kabla ya mechi ya mwisho kuchezwa, huenda alikuwa na kazi nayo lakini alinyimwa. Unajuwa kuna timu nyingi duniani hazipendi kuingia gharama ya kusajiri mchezaji mwenye mkataba, ni ghali.
Aliomba kwa mdomo au barua? Twende taratibu ili.ujue hujui kitu
 
Aliomba kwa mdomo au barua? Twende taratibu ili.ujue hujui kitu
inaonekana aliandika text, lakini kama masharti yalikuwa aandike application letter si angeambiwa hivyo? Tunajuwa kwenye hiyo application letter majibu yangekuwa na madai ya 1 bilioni ya kuvunja mkataba.
 
Simba ni kama yule mwanaume ambaye anatamani kumuacha mke wake lakini bado anampenda japokuwa mwanamke bado ni msumbufu

Inaitwa sitaki nataka
Sio kwamba bado anampenda bali anamuonea wivu kwa msambwanda alionao anaweza kuolewa hata na jirani yake.
 
Kuna ishu za kisheria pia, inabidi usizichukulie poa. Unaweza ukampa barua ya kumuachia akaja kugeuza maneno kwamba umemvunjia mkataba, kwa hiyo umlipe mahela mengi mengi kadiri ya mkataba ulivyosema. Kumbuka kuwa Morrison ni wakili msomi [emoji16]
Kweli Timu zote Simba na Yanga wanakwepa hatari ya kulipishwa mahela kibao ya kuvunja au kuvunjiwa mkataba. Timu zote zisubiri hadi tarehe ya mwisho ya mkataba wa mchezaji. Uzuri CUF wameongeza muda wa usajili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…