Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Ukitaka kuona vituko basi njoo kwenye club ya simba dirisha hili la usajili wanasajili wachezaji na kuacha bila kuwa na kocha mkuu unajiuliza mwekezaji wa simba mo dewji ana akili kweli
Makosa yaleyale ya misimu iliyopita wanayarudia na kipindi hiki akija kocha baada ya mda atawatupia lawama kwamba hawafundishiki kama alivyofanya benchika
Na jambo la kushangaza washabiki wao wao wanaona ni kawaida hata kuuliza hawaulizi katika timu inayoendeshwa kihuni basi ni simba
Wampate kocha asign ndo wangeanza kusajili kocha akiwepo hicho wanafanya ndo sababu ndani ya misimu miwili iliyopita timu imefundishwa na makocha zaidi ya sita
Cha ajabu mashabiki wao wameridhika na hizi sajili ila ligi ikianza kocha akianza kulalamika na timu kufanya vibaya wataanza tena hawamtaki mangungu