Simba wanasajili wachezaji bila kuwa na kocha mkuu

Hii bongo hakuna kocha yeyote huwa anapendekeza mchezaji, kocha yeye anapendekeza ni maeneo gani yaboreshwe kisha viongozi wanaingia sokoni kutafuta wachezaji wa hayo maeneo aliyopendekeza kocha. Kwa mantiki hiyo simba huenda wametumia report ya Mgunda au Benchika.
 
Tatizo hamsomi mkaelew, ndio shida ya vyura.

Umeambiwa pira biriani linarudi Msimbazi, lile lililoondoka Na Aussems.
We msimu uliopita ulikua bila aibu unalazimisha simba imerudi matokeo yake ndo ukawa msimu mbovu kwa simba

Leo tena unaletea unaleta story za pira biriani danganya ambao hawakujui
 
Hii bongo hakuna kocha yeyote huwa anapendekeza mchezaji, kocha yeye anapendekeza ni maeneo gani yaboreshwe kisha viongozi wanaingia sokoni kutafuta wachezaji wa hayo maeneo aliyopendekeza kocha. Kwa mantiki hiyo simba huenda wametumia report ya Mgunda au Benchika.
Msimu uliopita yanga walianza kusajili baada ya kumpata gamondi
 
Mgunda na Matola wanatosha sana, sio hadi wakoloni.
 
We msimu uliopita ulikua bila aibu unalazimisha simba imerudi matokeo yake ndo ukawa msimu mbovu kwa simba

Leo tena unaletea unaleta story za pira biriani danganya ambao hawakujui
Chura mbona unajitesa hautaki kuambiwa ukweli, sasa mimi nikusaidieje?!

Mida hii tena tunashusha kifaa kingine, manake mmeshasahau kama mlimsajili Chama wote macho yenu Simba App, mme download kwa hasira sana
 
Huu ndo mda wenu wa kufurahi kipindi cha usajili ligi ikianza machungu yanaanza tena
 
Makocha wenyewe hawamalizi miaka miwili wamefukuzwa au wameenda kufundisha kwingine kwenye masilahi makubwa, sasa utasajiri kikosi kipya kila baada ya miaka miwili?. Weka mkurugenzi wa ufundi sajiri wachezaji kulingana na falsafa ya timu. Kama kuna mkurugenzi wa ufundi(hata akiwa undercover) na falsafa ya timu inajulikana hakuna tatizo
 
Kama makocha hawawezi maliza hata msimu mmoja ni ngumu kupata mafanikio
Magfanikio ni process na sio short-cut
 
Back
Top Bottom