Simba wanasajili wachezaji bila kuwa na kocha mkuu

Hao kila msimu huwa wanafanya hivyo ili timu ikifanya vibaya, wapate kisingizio.
 
We're in a modern football.
Kocha hasajili maana any time anafukuzwa. Nyie uto endeleeni na utaratibu wenu.
Tunawasaidia ushauri ili mwaka huu angalau mpate kombe. Yaani mwaka wa tatu ni sisi tu, msimu huu tunataka tuwaachie. Au tuwape Azam
 
Nilikuwa sina taarifa kama Mgunda ameondoka Simba mpaka pale nilipofungua huu uzi
Wachezaji wasajiliwe kutokana na mapendekezo ya mgunda alafu aje awatumie kocha mwingine we unaona ni sawa

Nikusaidie simba wanatafuta kocha mwingine
 
Wachezaji wasajiliwe kutokana na mapendekezo ya mgunda alafu aje awatumie kocha mwingine we unaona ni sawa

Nikusaidie simba wanatafuta kocha mwingine
Kwani kocha akisajiliwa katikati ya msimu ambapo hakuna dirisha la usajili anawezaje kuwatumia hao wachezaji ambao tayari wapo?

Kwamba Simba ilihitaji kocha ili kujua kama inaweza kuongeza mkataba na Ayoub Lakred?

Kwamba Simba ilihitaji kocha mpya ili kujua kama inaweza kuongeza mkataba na Mzamiru?

Huyo kocha angekuwa na maoni gani kwenye sajiki za ndani kama Lameck Lawi, lini aliwahi kumuona?
 
Benchi la ufundi/makocha wapo.
 
Ligi ikianza utawasikia "hatumtaki mangungu".
 
Wachezaji wasajiliwe kutokana na mapendekezo ya mgunda alafu aje awatumie kocha mwingine we unaona ni sawa

Nikusaidie simba wanatafuta kocha mwingine
Unatia aibu. Mtu akikurupuka kutoa hoja busara ni kukimbia uzi badala ya kuendelea kujivua nguo. Sometimes tunafanya hivyo.
Hivi hata wewe kwa akili zako ulichoandika kina make sense kweli? Simba ina kocha Mgunda na benchi la ufundi na scouting wao pamoja na uongozi.
Mengine yote kaandika Scars hata sina haja ya kurudia.

Nakushauri kimbia uzi mwana
 
Msimu uliopita yanga walianza kusajili baada ya kumpata gamondi
Wewe ndiye hujui chochote, tulimsikia wenyewe Gamondi akilalamika kuwa Yanga haina straikers wa ushindani maana yake Hafiz Konkon hakumpendekeza yeye. Akili yako inakwambia kuwa Gamond ndiye amependekeza Okrah, Mkude na Chama wasajiliwe?
 
Balaa sana,Mimi nachojua kocha anakuaga na mfumo wake anaouamini like 433,asa ndo humwongoza atafute wachezaji wa namba Gani kumeet demands zake,Simba wanachofanya ni ushamba sawa na kujipaka mafuta kabla ya kuoga ndo unaenda kuoga🤣🤣
 
Mbona mmemsajili mzee chama konokono huku haendani na mfumo wa kocha wenu?

Wachezaji anaowatumia gamondi wote aliwasajili yeye?

Kwa taarifa yako simba walishampata kocha wao mapema tu japo hajatangazwa rasmi . Na wachezaji wanaosajiliwa ni mapendekezo yake.
 
Hahah Hahahahaaa Aya mwamed🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…