Simba wapo Algeria ya vijijini, maporini huko Kwa walima ngano

Simba wapo Algeria ya vijijini, maporini huko Kwa walima ngano

Hiyo ndiyo shule aliyosoma huyo ngara 23
FB_IMG_17244416000110105.jpg
 
Che Malone kamzidi magoli Dube. Kwa kifupi Bora che Malone awe striker pale Utopoloni
Che malon yupo mashindano ya akina mama
Hana hadhi ya kucheza Yanga
 
Madhara ya kushiriki Mashindano madogo ya Shirikisho, lazima timu zinazoshiriki haya mashindano zinatoka pembezoni.

Simba wapo maporini katika Jiji la Constantine Algeria ambalo ni mji wa kale ambapo walifika Roman empire
Yaani Kwa hapa Tanzania ni Kama Kilwa, Ruangwa lipo Namungo, Bagamoyo huko Kaole au Kigoma Ujiji.

Kufika Constantine huko hata ma bus hayafiki mpaka bodaboda

Mtani amepanda bodaboda 😄

Yanga ipo katika Jiji la Algiers ambao ndo mji mkuu hapo Algeria yaani Kwa Hapa Tanzania ni kama Dar es salaam, wapo hotel ya five star ✨

Hakuna timu itacheza mashindano ya akina mama iwe mjini, itapatakana maporini tu, Mtani yupo Jiji la Constantine Algeria analiwa na mbu na manyani

Yanga ndo team inacheza mashindano makubwa Africa na zinacheza timu kubwa tu mtani yeye yupo UMISETA

Yanga Bingwa
Uzi tayari..?
Au ni utangulizi tu..?
Au mwezi mchanga..?
 
Hawa ndio wanafanya tunaoshabikia Simba na Yanga tuonekane machozi, kumbe ni kikundi kidogo tu cha Utopolo
KUNA BINGWA MMOJA, ANASEMA MASHABIKI WENGI WA MPIRA, NI WATU MASKINI , HASA MASHABIKI WA YANGA, AKAMTOLEA MFANO JAMAA MMJA AMBAO UWEZO WA KUMILIKI SMATI PHONE HANA, SASA HUYU AMEDHIHILISHA.
 
KUNA BINGWA MMOJA, ANASEMA MASHABIKI WENGI WA MPIRA, NI WATU MASKINI , HASA MASHABIKI WA YANGA, AKAMTOLEA MFANO JAMAA MMJA AMBAO UWEZO WA KUMILIKI SMATI PHONE HANA, SASA HUYU AMEDHIHILISHA.
Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kusema kuwa shirikisho ni mashindano ya akina mama
 
Yanga asipofuzu,inakuwaje?Utaratibu umebadilika au anashuka kucheza ligi mnayoibeza?
 
Back
Top Bottom