Hahaha huu ni uongo.Hata kama mechi ingepangwa mapema hao simba wangetafuta tu sababu.
Hahaha, Boss sisi Simba wengine hatupendelei Yanga awe kipaumbele, kuna malengo makubwa Africa ya kuyafikia, tungeweza kuzifuta hizi mechi na Yanga tungezifuta maana zinatuamisha focus na siasa zake, ni vile tu kuna wenzetu si waelewa, wao wanataka tumuweke Yanga kama kipaumbele na tumfunge.Simba wana inferiority complex mbele ya yanga. linapokuja suala la kucheza na yanga kwa sasa simba akili yao inaweweseka.
Siasa tu hizo. Yanga kakuzidi uwezo uwanjani ndio maana unamkimbia game ya pili sasa hivi. Enzi za yanga kutembeza bakuli la michango simba mlikuwepo uko CAF na hamkuwahi kukimbia derby, ni kwa sababu yanga alikua dhaifuHahaha huu ni uongo.
Hahaha, Boss sisi Simba wengine hatupendelei Yanga awe kipaumbele, kuna malengo makubwa Africa ya kuyafikia, tungeweza kuzifuta hizi mechi na Yanga tungezifuta maana zinatuamisha focus na siasa zake, ni vile tu kuna wenzetu si waelewa, wao wanataka tumuweke Yanga kama kipaumbele na tumfunge.
Basi keshokutwa ngoja tukukande ili uamini kuwa huogopwi.Siasa tu hizo. Yanga kakuzidi uwezo uwanjani ndio maana unamkimbia game ya pili sasa hivi. Enzi za yanga kutembeza bakuli la michango simba mlikuwepo uko CAF na hamkuwahi kukimbia derby, ni kwa sababu yanga alikua dhaifu
Kufungwa ni sehemu ya mchezo, usiogope. Leta timu yako uwanjaniBasi keshokutwa ngoja tukukande ili uamini kuwa huogopwi.
Kwanini uulize? Kwani nyie mtakuwepo?Mtaleta timu?
πππKwamba tunawaogopaππππππhii haiwezi kuwa
Haha haaaaaaaaaaaa..Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Zaaaaa ndaniii kabisa ni kwamba makolo wamepima kina cha maji wameona watazama tena, hivyo wametafuta kila aina ya sababu ya kukimbia ngao ya jamii na wameipata
Kwahiyo wamesema tarehe 16 watasepa season 2 hawaleti team
Simba acheni uoga leten team tukipige
Walisepa 16.9.2025
LONDON BOY