Hujui kila mtu ana malengo yake?Wameisha hawa.
Sasa lawama za nini Simba kutoshiriki Mapibduzi Cup?Kupaparika kwa maharage jikoni ndio kuiva kwake,ni suala LA muda tu ila Simba kwa sasa hana chake meza ilishapinduliwa kitambo .
Kitendo cha Mo kujitoa uenyekiti wa bodi ya wakurugenzi alishanusa harufu inayohatarisha uwepo wake.
GSM kwa sasa hashikiki milango ya kusonga mbele imeshafunguka hakuna cha kumzuia tena kwenda anakotaka kwenda.
Kuna tofauti ya kutoshiriki na kususa,kinachohojiwa ni kususa sio kutoshiriki.Sasa lawama za nini Simba kutoshiriki Mapibduzi Cup?
Yap ndio,ijumaa ndo siku hasa inaamua mechi kamati ya nuksi,roho mbaya na zengwe,iyo mechi ya j'pili inachezwa kesho kwenye izo kamati hapo nilizozitaja maeneo ya mkondo wa Nungwi.Kumbe mechi ni kesho Ijumaa!
Hujui kitu wewe kwenye hizi mechi za Kariakoo Darby,wewe subiri j'pili upate matokeo,wakati mechi inachezwa kesho kwenye kamati huko.Kachanganyikiwa huyo [emoji23][emoji23]
Hujui kitu wewe kwenye hizi mechi za Kariakoo Darby,wewe subiri j'pili wakati mechi inachezwa kesho kwenye kamati huko.
Usilete mambo ya kufikirika, kwa hiyo nisubiri hadi J2 sio J'mosi tena.Hujui kitu wewe kwenye hizi mechi za Kariakoo Darby,wewe subiri j'pili upate matokeo,wakati mechi inachezwa kesho kwenye kamati huko.
Kachanganyikiwa huyo, hachana naye.Usilete mambo ya kufikirika, kwa hiyo nisubiri hadi J2 sio J'mosi tena.
Kavurugwa kasahau hadi siku [emoji23][emoji23]Kachanganyikiwa huyo, hachana naye.
Waambie hao utopolo wanajifanya kutaka kulazimisha vituYanga fanyeni mambo yenu, Simba ina mipango yake pia.
Washindani wenu sasa hivi ni Azam.
Sisi Simba tumewashindwa kwakuwa nyinyi mko juu sana kisoka sasa hivi.
Haya mashindano hayapo kwa ajili ya club kuongeza income.Simba imeshiba haina njaaa njaaa za kucheza vi mashindano vidogo vidogo hivyo
Mapinduzi cup si sehemu ya maandalizi au
Hata kagame cup simba waliigomea kwa kisingizio cha kuwahi pre season morroco..
Wrong strategies kabisa.
kwanini wasishiriki michuano hii kwa kutumia sehemu ya kikosi kilichopata nafasi ya kucheza muda mwingi?
Sasa naanza kushawishika na wasemao; Simba ina kikosi kipana kwa nadharia.
Kuna wachezaji wapo simba hapo hawapati nafasi ya kucheza, akiwemo yusuf mhilu.
Jukwaa lao lilikuwa ni hili..yule dogo kiberenge Rashid Juma ni zao la michuano hii.
Timu za ushindani zinatakiwa angalau zicheze mechi 50 per season..
Upande huu inabidi sasa tu-agree ku-disagree hakuna namna chief 😄Ukiwa kwa upande huu unapwaya sana tofauti na ninavyokuchulia!
Ndio maana nasema CEO wetu ni 0 brain