Simba wasusia kushiriki Mapinduzi Cup

Simba wasusia kushiriki Mapinduzi Cup

Kupaparika kwa maharage jikoni ndio kuiva kwake,ni suala LA muda tu ila Simba kwa sasa hana chake meza ilishapinduliwa kitambo .
Kitendo cha Mo kujitoa uenyekiti wa bodi ya wakurugenzi alishanusa harufu inayohatarisha uwepo wake.
GSM kwa sasa hashikiki milango ya kusonga mbele imeshafunguka hakuna cha kumzuia tena kwenda anakotaka kwenda.
 
Kupaparika kwa maharage jikoni ndio kuiva kwake,ni suala LA muda tu ila Simba kwa sasa hana chake meza ilishapinduliwa kitambo .
Kitendo cha Mo kujitoa uenyekiti wa bodi ya wakurugenzi alishanusa harufu inayohatarisha uwepo wake.
GSM kwa sasa hashikiki milango ya kusonga mbele imeshafunguka hakuna cha kumzuia tena kwenda anakotaka kwenda.
Sasa lawama za nini Simba kutoshiriki Mapibduzi Cup?
 
Sasa lawama za nini Simba kutoshiriki Mapibduzi Cup?
Kuna tofauti ya kutoshiriki na kususa,kinachohojiwa ni kususa sio kutoshiriki.
Kwani Kagame mlishiriki?kuna MTU yeyote aliehoji?watu wanahoji sasa sababu kususa kwenu ni kwa kijinga na wivu wa kike hakuna point.
Labda kwa vile ceo wenu ni wakike ndio mana mnaendeshwa kike kike tu sasa
 
Kumbe mechi ni kesho Ijumaa!
Yap ndio,ijumaa ndo siku hasa inaamua mechi kamati ya nuksi,roho mbaya na zengwe,iyo mechi ya j'pili inachezwa kesho kwenye izo kamati hapo nilizozitaja maeneo ya mkondo wa Nungwi.
 
Hujui kitu wewe kwenye hizi mechi za Kariakoo Darby,wewe subiri j'pili wakati mechi inachezwa kesho kwenye kamati huko.

images (1).jpeg
 
Hujui kitu wewe kwenye hizi mechi za Kariakoo Darby,wewe subiri j'pili upate matokeo,wakati mechi inachezwa kesho kwenye kamati huko.
Usilete mambo ya kufikirika, kwa hiyo nisubiri hadi J2 sio J'mosi tena.
 
Yanga fanyeni mambo yenu, Simba ina mipango yake pia.

Washindani wenu sasa hivi ni Azam.
Sisi Simba tumewashindwa kwakuwa nyinyi mko juu sana kisoka sasa hivi.
Waambie hao utopolo wanajifanya kutaka kulazimisha vitu
 
Simba imeshiba haina njaaa njaaa za kucheza vi mashindano vidogo vidogo hivyo
Haya mashindano hayapo kwa ajili ya club kuongeza income.

Haya mashindano huwa yanaandaliwa na SMZ ili kusherehesha sherehe za Mapinduzi.

Visiwani Zanzibar kuna mashabiki wengi wa Simba na Yanga.Simba kukataa kupeleka timu ni kuwaumiza mashabiki wake ambao wapo visiwani ambao Most wanaionaga timu yao ikicheza katika mashindano hayo.
 
Hata kagame cup simba waliigomea kwa kisingizio cha kuwahi pre season morroco..

Wrong strategies kabisa.
kwanini wasishiriki michuano hii kwa kutumia sehemu ya kikosi kilichopata nafasi ya kucheza muda mwingi?

Sasa naanza kushawishika na wasemao; Simba ina kikosi kipana kwa nadharia.

Kuna wachezaji wapo simba hapo hawapati nafasi ya kucheza, akiwemo yusuf mhilu.

Jukwaa lao lilikuwa ni hili..yule dogo kiberenge Rashid Juma ni zao la michuano hii.

Timu za ushindani zinatakiwa angalau zicheze mechi 50 per season..

Huu ni muda wa kuiachia Yanga walau ishine kwenye haya mashindano ya Kombe la Mbuzi.
 
Wanasimba tukubali utawala wetu unaelekea ukingoni, sidhani kama hii ni sababu ya msingi maana huko nyuma tulikuwa kwny mashindano makubwa kuliko haya ya shirikisho na tulishiriki mapinduzi
 
Back
Top Bottom