Huko kwenye Shirikisho mechi zijazo mnakula kipigo hamvuki,nyie si mnadai mna kikosi kipana mnatakiwa mshiriki mashindano yoyote yaliyombele yenu lengo kuwapa nafasi wachezaji ambao hamuwatumii mfano Ajibu,Yusufu muhilu n.k ,Ndugu zangu mnaogopa kipigo Cha Yanga hahahaaaaa
Leteni timu si mnadai mna kikosi kipana nyie.Leteni tuwatafune kudadeki zenu.Mtatukimbia sana hata hiyo mechi ya Jmosi mlipeleka maombi kwenye bodi ya ligi isogezwe mbele mkakataliwa Hahahahaaaaa ,lazima mliwe
Mwambie huyo maana anashindwa kutofautisha msalaba na jumlisha. Timu kubwa ipo CAF kule inapigania nafasi 4 ili wao viti maalumu waje wakae bila jasho lao yaani tuache kujipanga kwa CAF confederation cup tujiumize kwa kombe la mbuzi ..?Unaelewa kutinga hatua ya makundi simba inakunja milupo mingapi?
Hapo unazungumzia kwenye M500 na usengee huko
Sasa imagine wachezaji wanapata injury kwenye kikombe cha m15, injury ambayo itawafanya wakose wachezaji muhimu kwenye mechi muhimu
Ni hesabu ndogo tu, nyinyi mnahaki ya kupambania kwasababu hamna pa kwenda
Hapo shida ni nembo ya GSM kwasababu wamedhamini.Huu ni mwanzo wa kuharibu soka la bongo
Acha Makasiriko simba wana malengo yao.? Ndondo cup nizakwemu mzee baba .Kuna tofauti ya kutoshiriki na kususa,kinachohojiwa ni kususa sio kutoshiriki.
Kwani Kagame mlishiriki?kuna MTU yeyote aliehoji?watu wanahoji sasa sababu kususa kwenu ni kwa kijinga na wivu wa kike hakuna point.
Labda kwa vile ceo wenu ni wakike ndio mana mnaendeshwa kike kike tu sasa
Mwambieni Mo nae aweke hela,huyo tajiri wenu wa kwenye makaratasi .Raha ya utajiri tumia pesa tuone,huyo tajiri kanjanja,wewe uliona wapi tajiri anashinda mitandaoni kujibishana na watu mda huo anatoa.Nenda kaangalia wafanyakazi kwenye kampuni zake wanavyonyanyasika malipo duni na unyanyasaji mwingi si unajua wahindi walivyo.Watu wanafanyakazi kwa sababu ya shida na umasikini tu lakini wananung'unika balaaaa.Huyo muhindi hovyo kabisaaa Hana huruma hata kidogo
Mapinduzi ni mashindano ambaya hata kwenye kalenda ya TFF hayapo. Sasa hayo mashindano yana faida gani kwa simba ikiwa tuna mashindano 3 mbele ya wakubwa yanatuangalia na bado super cup inajadiliwa simba atashiriki ikiwepo aisee kila timu na malengo yake labda tupeleke simba bHapy Birthday Tanganyika.
Simba Mmejitoa kushiriki Mashindano ya Mapinduzi Kisa maandalizi ya Caf Champion League
Sasa Kimbieni Tu, bdo kuwa Co Sponsor wa Caf na Pia Kuwa Co. Sponsor Wa Kombe La Azam Cup Federation.
Sasa Sjui mtasema mmetingwa na Nini [emoji23][emoji23]
Unasuusa Suuuusaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2037869
Kupaparika kwa maharage jikoni ndio kuiva kwake,ni suala LA muda tu ila Simba kwa sasa hana chake meza ilishapinduliwa kitambo .
Kitendo cha Mo kujitoa uenyekiti wa bodi ya wakurugenzi alishanusa harufu inayohatarisha uwepo wake.
GSM kwa sasa hashikiki milango ya kusonga mbele imeshafunguka hakuna cha kumzuia tena kwenda anakotaka kwenda.
Haya mashindano hayapo kwa ajili ya club kuongeza income.
Haya mashindano huwa yanaandaliwa na SMZ ili kusherehesha sherehe za Mapinduzi.
Visiwani Zanzibar kuna mashabiki wengi wa Simba na Yanga.Simba kukataa kupeleka timu ni kuwaumiza mashabiki wake ambao wapo visiwani ambao Most wanaionaga timu yao ikicheza katika mashindano hayo.
Acha kuwapangia watu kazi we sukule zee! Hilo bonanza ndiyo saizi yenu.Huko kwenye Shirikisho mechi zijazo mnakula kipigo hamvuki,nyie si mnadai mna kikosi kipana mnatakiwa mshiriki mashindano yoyote yaliyombele yenu lengo kuwapa nafasi wachezaji ambao hamuwatumii mfano Ajibu,Yusufu muhilu n.k ,Ndugu zangu mnaogopa kipigo Cha Yanga hahahaaaaa
Mkitolewa Confederation mtasema siyo malengo yenu.Kila mtu ana malengo yake so tusipangiane,, kama ilivyo kwa yanga malengo yake ni kumfunga simba na kuchukua mapinduzi cup,, simba wao malengo yao ni kombe la shirikisho Africa, azam confederation, na ligi kuu
KabisaTuacheni
Hujui,inachezwa kesho usiku,then jumamosi ni marudio uwanjani😅😅😅😅Kumbe mechi ni kesho Ijumaa!
Mashabiki ni hazina ya timu sio serikali wala waziri.Waambie hao mashabiki wa Simba walie na Waziri wa Michezo aliyetoa maneno ya kashfa kwa Simba.Si alisema Yanga inapendwa zaidi Zanzibar kuliko Team yoyote,basi acha wapewe ile kitu roho inapenda.
Tunataka kumwonyesha waziri wenu ukubwa simba ili siku nyingine asidemkeMashabiki ni hazina ya timu sio serikali wala waziri.
Simba ni taasisi kubwa si kila neno lenye maudhi basi eti nao wa revange.
Mbona simple tu. Si tumekimbia mapinduzi na niny mmekimbia caf kama mntaka kushindana na sisi tukutnae caf competition huku tukiangaliwa na warabu.Kauli mbiu za kikosi kipana zimeishia wapi?[emoji16]
Huko mnakotaka mmekuwa vibonde siku hizi! Vitimu kama Galaxy na Red Allows vinawavimbia kiasi kile! Tatizo Mikia wanalazimisha ukubwa ambao hawana!Na tukifika robo fainali tunasusa mazima kucheza hata hii ligi kuu, tutaongea na CAF waangalie utaratibu wa kutupanga kwenye ligi yenye club zenye competitions za level zetu
Norwich ikimfunga Liverpool hatuwezi kusema Norwich ni bora ,utopolo bado ni timu ya mchanganiHuna uwezo huo.Timu lenyewe tia maji tia maji.Unashangilia uku umeshika moyo.Subiri uone Jmosi kitakachokupata utajuta kuleta timu kwa Mkapa.Woga Bwana,ukapeleka barua yako bodi ya ligi ili mechi isogezwe mbele umekataliwa hahahaaaaa,lazima uliwe tena sana