Pesa awapeni nani nyie mbumbumbu!![emoji23][emoji23][emoji23]Usimsingizie Msigwa!! Usimlishe maneno!! Pesa za simba sh 20M ziko pale pale!! Mama hawezi kujidhalilisha kiasi hicho!!
Mkuu, hao ni mbumbumbu, wanashindwa kutofautisha kati ya kushinda na kufunga.Msigwa alisema na akarudia mara mbili mbili. Simba ikishinda, Simba ikishinda, kila goli mama atatoa 10M, zingatia neno ikishinda! Sasa labda tuanzie hapo, Simba imeshinda!!?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mpewe hela wakati hamjashinda?Mama alitangaza goli moja sh mil 10. Bila kusema kwamba hiyo hela ni timu ikishinda tu, baada ya kuona simba imeshinda magoli mawili Msigwa akatangaza hela ni timu ikishinda tu.
Tunajua mama ni Yanga ndo maana amegoma kutoa hela kwasababu simba haikushinda. Mashindano mengine yapo huo ni udhalilishaji Kwanza mil 10 hela gani kwa timu kama Simba.
Ingekuwa vizuri hata kwenye mashindano yoyote simba ikishinda wasiende kupokea hiyo hela wapuuzie tu.
Unasema unanunua goli halafu hukuweka vigezo baadaye unasema hawakushinda.
Muongo kobe we [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanga kwenye mechi na USM alger ahadi ilikuwa kama hiyo endapo yanga akishinda mechi kila holi milioni kadhaa, yanga akabanduliwa 2-1 kwa mkapa na bado akapewa hela
Kabisa wamezinguaMama alitangaza goli moja sh mil 10. Bila kusema kwamba hiyo hela ni timu ikishinda tu, baada ya kuona simba imeshinda magoli mawili Msigwa akatangaza hela ni timu ikishinda tu.
Tunajua mama ni Yanga ndo maana amegoma kutoa hela kwasababu simba haikushinda. Mashindano mengine yapo huo ni udhalilishaji Kwanza mil 10 hela gani kwa timu kama Simba.
Ingekuwa vizuri hata kwenye mashindano yoyote simba ikishinda wasiende kupokea hiyo hela wapuuzie tu.
Unasema unanunua goli halafu hukuweka vigezo baadaye unasema hawakushinda.
Aikusumbue huyo mbumbumbu, Yanga hakupewa pesa kwenye mechi ya kwanza, bali kwenye mechi ya marudiano nchini Algeria.Kama ilikuwa hivyo basi kuna tatizo hapo, kuna kupata goli na kushinda. Sasa hapo ni kupata goli na sio kushinda
Walishinda asubuhi mpaka jioni.Sasa mpewe hela wakati hamjashinda?
Ilishatangazwa hiyo.Mama alitangaza goli moja sh mil 10. Bila kusema kwamba hiyo hela ni timu ikishinda tu, baada ya kuona simba imeshinda magoli mawili Msigwa akatangaza hela ni timu ikishinda tu.
Tunajua mama ni Yanga ndo maana amegoma kutoa hela kwasababu simba haikushinda. Mashindano mengine yapo huo ni udhalilishaji Kwanza mil 10 hela gani kwa timu kama Simba.
Ingekuwa vizuri hata kwenye mashindano yoyote simba ikishinda wasiende kupokea hiyo hela wapuuzie tu.
Unasema unanunua goli halafu hukuweka vigezo baadaye unasema hawakushinda.
💩Mama alitangaza goli moja sh mil 10. Bila kusema kwamba hiyo hela ni timu ikishinda tu, baada ya kuona simba imeshinda magoli mawili Msigwa akatangaza hela ni timu ikishinda tu.
Tunajua mama ni Yanga ndo maana amegoma kutoa hela kwasababu simba haikushinda. Mashindano mengine yapo huo ni udhalilishaji Kwanza mil 10 hela gani kwa timu kama Simba.
Ingekuwa vizuri hata kwenye mashindano yoyote simba ikishinda wasiende kupokea hiyo hela wapuuzie tu.
Unasema unanunua goli halafu hukuweka vigezo baadaye unasema hawakushinda.
Msigwa alisema na akarudia mara mbili mbili. Simba ikishinda, Simba ikishinda, kila goli mama atatoa 10M, zingatia neno ikishinda! Sasa labda tuanzie hapo, Simba imeshinda!!?[emoji23][emoji23][emoji23]
Vyura mtapata tabu sana mwaka huuMama alitangaza goli moja sh mil 10. Bila kusema kwamba hiyo hela ni timu ikishinda tu, baada ya kuona simba imeshinda magoli mawili Msigwa akatangaza hela ni timu ikishinda tu.
Tunajua mama ni Yanga ndo maana amegoma kutoa hela kwasababu simba haikushinda. Mashindano mengine yapo huo ni udhalilishaji Kwanza mil 10 hela gani kwa timu kama Simba.
Ingekuwa vizuri hata kwenye mashindano yoyote simba ikishinda wasiende kupokea hiyo hela wapuuzie tu.
Unasema unanunua goli halafu hukuweka vigezo baadaye unasema hawakushinda.
Shukrani mkuu kwa kuweka kumbukumbu sawa. Jamaa anataka kueneza propaganda za kijingaAikusumbue huyo mbumbumbu, Yanga hakupewa pesa kwenye mechi ya kwanza, bali kwenye mechi ya marudiano nchini Algeria.
Hakupewa pesa achana na wazushi hao. Tangu msimu uliopita ilitangazwa timu ikishinda na ilisisitizwa hivyo. Shindeni mechi acheni janja janja.Kama ilikuwa hivyo basi kuna tatizo hapo, kuna kupata goli na kushinda. Sasa hapo ni kupata goli na sio kushinda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mimi mifuko 3 ya sementiMkuu, hao ni mbumbumbu, wanashindwa kutofautisha kati ya kushinda na kufunga.
Kiufupi jana mbumbumbu amefunga lakini hajashinda.
Naahidi kwenye ujenzi wa sanamu la Rage pale msimbazi nitajitolea ndoo 7 za maji.
Nimetoka kusema kitu kama hiki ila Vyura wamenishambulia sana huko juuUnaposema mama ni Yanga nakuelewa vizuri. Kwa sababu ni yeye mwenye alisema kuwa magoli yatakayonunuliwa ni yale yaliyosababisha timu kushinda na kupata alama 3.
Lakini ikawa tofauti kwa Yanga. Yanga alipigwa kwenye mechi mbili kwa moja lakini alipewa hela. Hapo kuna sintofahamu.
Fuatilia vizuri mkuu, yanga alipewa pesa licha ya kufungwa ile mechi na UsmaHakupewa pesa achana na wazushi hao. Tangu msimu uliopita ilitangazwa timu ikishinda na ilisisitizwa hivyo. Shindeni mechi acheni janja janja.