Simba wasusie hela ya goli ya mama

Simba wasusie hela ya goli ya mama

Msigwa alisema na akarudia mara mbili mbili. Simba ikishinda, Simba ikishinda, kila goli mama atatoa 10M, zingatia neno ikishinda! Sasa labda tuanzie hapo, Simba imeshinda!!?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu, hao ni mbumbumbu, wanashindwa kutofautisha kati ya kushinda na kufunga.

Kiufupi jana mbumbumbu amefunga lakini hajashinda.

Naahidi kwenye ujenzi wa sanamu la Rage pale msimbazi nitajitolea ndoo 7 za maji.
 
Mama alitangaza goli moja sh mil 10. Bila kusema kwamba hiyo hela ni timu ikishinda tu, baada ya kuona simba imeshinda magoli mawili Msigwa akatangaza hela ni timu ikishinda tu.

Tunajua mama ni Yanga ndo maana amegoma kutoa hela kwasababu simba haikushinda. Mashindano mengine yapo huo ni udhalilishaji Kwanza mil 10 hela gani kwa timu kama Simba.

Ingekuwa vizuri hata kwenye mashindano yoyote simba ikishinda wasiende kupokea hiyo hela wapuuzie tu.

Unasema unanunua goli halafu hukuweka vigezo baadaye unasema hawakushinda.
Sasa mpewe hela wakati hamjashinda?
 
Yanga kwenye mechi na USM alger ahadi ilikuwa kama hiyo endapo yanga akishinda mechi kila holi milioni kadhaa, yanga akabanduliwa 2-1 kwa mkapa na bado akapewa hela
Muongo kobe we [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yanga alipewa pesa kwenye mechi ya marudiano kule Algeria.

Sorry, nimesahu, kumbe we ni mbumbumbu!!
 
Mama alitangaza goli moja sh mil 10. Bila kusema kwamba hiyo hela ni timu ikishinda tu, baada ya kuona simba imeshinda magoli mawili Msigwa akatangaza hela ni timu ikishinda tu.

Tunajua mama ni Yanga ndo maana amegoma kutoa hela kwasababu simba haikushinda. Mashindano mengine yapo huo ni udhalilishaji Kwanza mil 10 hela gani kwa timu kama Simba.

Ingekuwa vizuri hata kwenye mashindano yoyote simba ikishinda wasiende kupokea hiyo hela wapuuzie tu.

Unasema unanunua goli halafu hukuweka vigezo baadaye unasema hawakushinda.
Kabisa wamezingua
 
Ilishatangazwa hiyo.
 
💩
 
Kwa hyo ananunua magoli au ushindi?
sasa si aseme tu.mpaka mshinde nawapa kiasi kadhaa.kusema kusema unanunua magoli alafu unaweka vikwazo.
Simba hii sio ile.
Msigwa alisema na akarudia mara mbili mbili. Simba ikishinda, Simba ikishinda, kila goli mama atatoa 10M, zingatia neno ikishinda! Sasa labda tuanzie hapo, Simba imeshinda!!?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mama alitangaza goli moja sh mil 10. Bila kusema kwamba hiyo hela ni timu ikishinda tu, baada ya kuona simba imeshinda magoli mawili Msigwa akatangaza hela ni timu ikishinda tu.

Tunajua mama ni Yanga ndo maana amegoma kutoa hela kwasababu simba haikushinda. Mashindano mengine yapo huo ni udhalilishaji Kwanza mil 10 hela gani kwa timu kama Simba.

Ingekuwa vizuri hata kwenye mashindano yoyote simba ikishinda wasiende kupokea hiyo hela wapuuzie tu.

Unasema unanunua goli halafu hukuweka vigezo baadaye unasema hawakushinda.
Vyura mtapata tabu sana mwaka huu
 
Unaposema mama ni Yanga nakuelewa vizuri. Kwa sababu ni yeye mwenye alisema kuwa magoli yatakayonunuliwa ni yale yaliyosababisha timu kushinda na kupata alama 3.

Lakini ikawa tofauti kwa Yanga. Yanga alipigwa kwenye mechi mbili kwa moja lakini alipewa hela. Hapo kuna sintofahamu.
 
Mkuu, hao ni mbumbumbu, wanashindwa kutofautisha kati ya kushinda na kufunga.

Kiufupi jana mbumbumbu amefunga lakini hajashinda.

Naahidi kwenye ujenzi wa sanamu la Rage pale msimbazi nitajitolea ndoo 7 za maji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mimi mifuko 3 ya sementi
 
Unaposema mama ni Yanga nakuelewa vizuri. Kwa sababu ni yeye mwenye alisema kuwa magoli yatakayonunuliwa ni yale yaliyosababisha timu kushinda na kupata alama 3.

Lakini ikawa tofauti kwa Yanga. Yanga alipigwa kwenye mechi mbili kwa moja lakini alipewa hela. Hapo kuna sintofahamu.
Nimetoka kusema kitu kama hiki ila Vyura wamenishambulia sana huko juu
 
Back
Top Bottom