Simba wataenda uwanja gani kupata point 3 hiyo tarehe 15?

Mapunguani pekee ndiyo wanafurahia ujinga uliofanywa na Bodi ya ligi kuhairisha mchezo hadi leo hawajatoa taarifa ya sababu walizokuwa wanachunguza...then watu wanawaona kama wako sawa kupanga tena tarehe za mchezo.
Simamieni kwa umoja kuiwajibisha bodi ya Ligi wawajibike siyo kushabikia ujinga.
 
Kama YANGA hawatoandaa Mchezo wa Tarehe 15 Ina maana Simba watakuwa hawajui waende Uwanja Upi ili wapate hizo point tatu, Kwasababu mwenyeji hajasema Venue..!!

Hii movie ni Kali sana 🙌🏻🙌🏻
Uwanja wa nyumbani yanga aliouchagua kwa ajili ya mechi za nbc premier league ni upi?
 
Kama YANGA hawatoandaa Mchezo wa Tarehe 15 Ina maana Simba watakuwa hawajui waende Uwanja Upi ili wapate hizo point tatu, Kwasababu mwenyeji hajasema Venue..!!

Hii movie ni Kali sana 🙌🏻🙌🏻
Uwanja unajulikana
 
Sababu za kuahirisha mechi zilishatolewa na bodi ya ligi. Wew unataka sababu gani tena??

Vitendo vya uvunjifu wa Amani na rushwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…