Simba watakutana na Al Masry ya Egypt

Tulikuwa tunawataka waarabu. Simba sc is going all the way to the final.Simba sc will be the champion of the tournament.
 
Baada ya kutolewa, tusisikie kelele za kumlaumu Mangungu, Matola, au baadhi ya wachezaji wenu. Sawa kijana?
Mimi ni mjomba wako hupaswi kuniita kijana,
Tulimtoa Zamaleki Enzi hizo ni wa moto 2003,niko Taifa Joseph Kaniki Golota.
Sijui Ulikua wapi wewe mjomba wangu.
Mzee mwenzangu OKW BOBAN SUNZU Kalpana Mshangazi dot com ngara23 watakua wanakumbuka hii.
 
Ila kajinga wewe una fitina! Eti mtu mzima kusumbuka!
 
Mimi ni mjomba wako hupaswi kuniita kijana,
Tulimtoa Zamaleki Enzi hizo ni wa moto 2003,niko Taifa Joseph Kaniki Golota.
Sijui Ulikua wapi wewe mjomba wangu.
Mzee mwenzangu OKW BOBAN SUNZU Kalpana Mshangazi dot com ngara23 watakua wanakumbuka hii.
Sawa Mjomba. Muhimu tu mkitolewa, basi mkubali matokeo. Hakuna sababu ya kuwalaumu akina Mangungu, Matola, Joshua Mutale, Steven Mukwala, Shomari Kapombe, na mastaa wengine wa timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…