Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huu msimu Yanga ukimwona kwenye mashindano unayoshiriki?Na nyie UTOPOLO Plus mtakutana na nani? Au draw yenu bado haujafika muda wa kupangwa?
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Fikeni fainaliSasa nyie Utopolos vilio vya nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Simba asipokula chuma tatu misri nakulipia king'amuzi mwaka mzimaGame ya wanaojua, itakuwa nzuri sana
Umeona sina uwezo wa kulipia sio!Simba asipokula chuma tatu misri nakulipia king'amuzi mwaka mzima
Siyo suala la uwezoUmeona sina uwezo wa kulipia sio!
Muarabu kajileta geto mwenyewe ndio tulikuwa tunawataka.Hapa ndo ukisikia mtu mzima kusumbuka
Sisi wanasimba tulihitaji kale katimu ka South Africa Sasa tumepewa mwarabu
Kama Simba ataingia semi final atakutana na Zamalek au Stelleboch 🤣😅
Kimeumana
Hii imeniuma, GSM anahujumu hadi huko CAFCC
Tulikuwa tunawataka waarabu. Simba sc is going all the way to the final.Simba sc will be the champion of the tournament.Hapa ndo ukisikia mtu mzima kusumbuka
Sisi wanasimba tulihitaji kale katimu ka South Africa Sasa tumepewa mwarabu
Kama Simba ataingia semi final atakutana na Zamalek au Stelleboch 🤣😅
Kimeumana
Hii imeniuma, GSM anahujumu hadi huko CAFCC
Baada ya kutolewa, tusisikie kelele za kumlaumu Mangungu, Matola, au baadhi ya wachezaji wenu. Sawa kijana?Hao sisi tunawakalisha kwao na Hapa Bongo,wamuulize kaka yao.
This is Simba.
Mimi ni mjomba wako hupaswi kuniita kijana,Baada ya kutolewa, tusisikie kelele za kumlaumu Mangungu, Matola, au baadhi ya wachezaji wenu. Sawa kijana?
Ila kajinga wewe una fitina! Eti mtu mzima kusumbuka!Hapa ndo ukisikia mtu mzima kusumbuka
Sisi wanasimba tulihitaji kale katimu ka South Africa Sasa tumepewa mwarabu
Kama Simba ataingia semi final atakutana na Zamalek au Stelleboch 🤣😅
Kimeumana
Hii imeniuma, GSM anahujumu hadi huko CAFCC
Sawa Mjomba. Muhimu tu mkitolewa, basi mkubali matokeo. Hakuna sababu ya kuwalaumu akina Mangungu, Matola, Joshua Mutale, Steven Mukwala, Shomari Kapombe, na mastaa wengine wa timu.Mimi ni mjomba wako hupaswi kuniita kijana,
Tulimtoa Zamaleki Enzi hizo ni wa moto 2003,niko Taifa Joseph Kaniki Golota.
Sijui Ulikua wapi wewe mjomba wangu.
Mzee mwenzangu OKW BOBAN SUNZU Kalpana Mshangazi dot com ngara23 watakua wanakumbuka hii.