Mario Kempes
Member
- Jun 29, 2021
- 63
- 122
Uzi mpya huu hapa, big yes or big no?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaendeleze Yanga ipate hata kiwanja cha mazoeziTUNATAKA MAENDELEO YA TIMU SIO MIJEZI YA KUVUNJA BEI
ENDELEENI NA DONEE YENU YA UPIGAJIKaendeleze Yanga ipate hata kiwanja cha mazoezi
MAKASIRIKO FC POLE
QUALITY YA TANDALE KWA TUMBOKwenye picha uzi umetulia sana, ila sasa ukikutana nao live [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utajua kwanini anaitwa vunja bei
Kumbe na wewe ni mnoko broo!!TUNATAKA MAENDELEO YA TIMU SIO MIJEZI YA KUVUNJA BEI
WASEMA WEWEKumbe na wewe ni mnoko broo!!
TUNATAKA MAENDELEO YA TIMU SIO MIJEZI YA KUVUNJA BEI
Maendeleo gani kwani wakivaa jezi za kawaida za msimu huu itabadilisha nini haswa? Ni kama msimu uliopita mlizindua jezi za ligi ya mabingwa maskini ya Mungu mkaangukia pua mapemaaa na mkandarasi wa jezi kajiwekea hela mfukoniMaendeleo yenyewe ni kama hayo! Hata timu kubwa ulaya kutokana na maendeleo waliyo nayo zinakuwa na jezi toafauti tofauti katika mashindano tofauti!
Hii ya simba imewauma nyie wanautopolo!
Ingekuwa ni utopolo ndio imeanza kufanya hivyo, ungekuja huku kuishangilia…na hili lazima utopolo itaiga tu!
Kunywa kikombe cha maji kisha Sema Simba Nguvu MojaMatambara ya deki yanazidi kuongezeka
Maendeleo gani kwani wakivaa jezi za kawaida za msimu huu itabadilisha nini haswa? Ni kama msimu uliopita mlizindua jezi za ligi ya mabingwa maskini ya Mungu mkaangukia pua mapemaaa na mkandarasi wa jezi kajiwekea hela mfukoni
hizo hela za kutengeneza jezi za ligi ya mabingwa mngewekezea kwenye kuboresha kikosi mngekuwa wapi? mnashindwa kuiga wenzenu AL AHLY wenye kikosi cha mabilioni wanavyowekeza
HALAFU BAADAE MNAKUJA KUSEMA YANGA WACHAWI[emoji38]
Na mwaka huu tabu iko pale pale
Nyie mliotambulisha jezi kwaajili ya mashindano ya kimataifa msimu huu mliishia wapi ? [emoji23][emoji23]Maendeleo gani kwani wakivaa jezi za kawaida za msimu huu itabadilisha nini haswa? Ni kama msimu uliopita mlizindua jezi za ligi ya mabingwa maskini ya Mungu mkaangukia pua mapemaaa na mkandarasi wa jezi kajiwekea hela mfukoni
hizo hela za kutengeneza jezi za ligi ya mabingwa mngewekezea kwenye kuboresha kikosi mngekuwa wapi? mnashindwa kuiga wenzenu AL AHLY wenye kikosi cha mabilioni wanavyowekeza
HALAFU BAADAE MNAKUJA KUSEMA YANGA WACHAWI[emoji38]
Na mwaka huu tabu iko pale pale
PUNGUZA MAKASIRIKO JOMBAA? MBONA UNAPANIC 😆😆😆😆😆Kwani wakivaa jezi mpya wewe inakupunguzia nini, kipi kinakuuma? Mbona nyie mlizindua zile jezi zenu za utelembwe zenye visit kilimanjaro/zanzibar mkazigeuza madekio baada ya game moja hapo tuseme mliangukia taya mkavunjika magego!
Jezi za kimataifa za simba zinaendelea kutumika siyo kama zenu zile ambazo hakuna hata anayethubutu kuvaa bure!
Simba kuzindua jezi mpya za mapinduzi imewauma sana nyie utelembwe, na kama hujui inawezekana akili zako zimeshaanza “kudoda” hicho ni chanzo cha mapato usidhani ni wajinga hao! Hizi jezi mpya zitanunulika tena sana tu, na hizo za kawaida zitaendelea kununulika kama kawaida!
Mapinduzi simba itaingiza hela nyingi sana kwenye mauzo ya hizi jezi mpya na itapata fedha nyingi kushinda hata zawadi ya mshindi wa kwanza!
Tukisema mashabiki wa utopolo ni mazwazwa ujue na wewe ni miongoni mwao tu, kama unashindwa kung’amua hiki ilichofanya simba!
Subiria viongozi wako wa utelembwe waige hili maana hakuna namna!
TANZANIA NDIO HOMENyie mliotambulisha jezi kwaajili ya mashindano ya kimataifa msimu huu mliishia wapi ? [emoji23][emoji23]