Simba watambulisha jezi zao mpya kwa ajili ya Mapinduzi na Kombe la Shirikisho

Mario Kempes

Member
Joined
Jun 29, 2021
Posts
63
Reaction score
122
Uzi mpya huu hapa, big yes or big no?

3D7AD075-A30D-4C8A-98AF-6AC013CBC79A.jpeg

18023F74-6910-489E-A417-16FE9004B41E.jpeg

F5918B03-4EF6-473A-AB61-1D43379ABCAD.jpeg

83024F1F-AD39-4E9D-8D9A-90E38AEAF4D8.jpeg
 
TUNATAKA MAENDELEO YA TIMU SIO MIJEZI YA KUVUNJA BEI

Maendeleo yenyewe ni kama hayo! Hata timu kubwa ulaya kutokana na maendeleo waliyo nayo zinakuwa na jezi toafauti tofauti katika mashindano tofauti!
Hii ya simba imewauma nyie wanautopolo!
Ingekuwa ni utopolo ndio imeanza kufanya hivyo, ungekuja huku kuishangilia…na hili lazima utopolo itaiga tu!
 
Maendeleo gani kwani wakivaa jezi za kawaida za msimu huu itabadilisha nini haswa? Ni kama msimu uliopita mlizindua jezi za ligi ya mabingwa maskini ya Mungu mkaangukia pua mapemaaa na mkandarasi wa jezi kajiwekea hela mfukoni

hizo hela za kutengeneza jezi za ligi ya mabingwa mngewekezea kwenye kuboresha kikosi mngekuwa wapi? mnashindwa kuiga wenzenu AL AHLY wenye kikosi cha mabilioni wanavyowekeza

HALAFU BAADAE MNAKUJA KUSEMA YANGA WACHAWI😆

Na mwaka huu tabu iko pale pale
 
Maendeleo gani kwani wakivaa jezi za kawaida za msimu huu itabadilisha nini haswa? Ni kama msimu uliopita mlizindua jezi za ligi ya mabingwa maskini ya Mungu mkaangukia pua mapemaaa na mkandarasi wa jezi kajiwekea hela mfukoni

hizo hela za kutengeneza jezi za ligi ya mabingwa mngewekezea kwenye kuboresha kikosi mngekuwa wapi? mnashindwa kuiga wenzenu AL AHLY wenye kikosi cha mabilioni wanavyowekeza

HALAFU BAADAE MNAKUJA KUSEMA YANGA WACHAWI[emoji38]

Na mwaka huu tabu iko pale pale

Kwani wakivaa jezi mpya wewe inakupunguzia nini, kipi kinakuuma? Mbona nyie mlizindua zile jezi zenu za utelembwe zenye visit kilimanjaro/zanzibar mkazigeuza madekio baada ya game moja hapo tuseme mliangukia taya mkavunjika magego!
Jezi za kimataifa za simba zinaendelea kutumika siyo kama zenu zile ambazo hakuna hata anayethubutu kuvaa bure!

Simba kuzindua jezi mpya za mapinduzi imewauma sana nyie utelembwe, na kama hujui inawezekana akili zako zimeshaanza “kudoda” hicho ni chanzo cha mapato usidhani ni wajinga hao! Hizi jezi mpya zitanunulika tena sana tu, na hizo za kawaida zitaendelea kununulika kama kawaida!
Mapinduzi simba itaingiza hela nyingi sana kwenye mauzo ya hizi jezi mpya na itapata fedha nyingi kushinda hata zawadi ya mshindi wa kwanza!
Tukisema mashabiki wa utopolo ni mazwazwa ujue na wewe ni miongoni mwao tu, kama unashindwa kung’amua hiki ilichofanya simba!

Subiria viongozi wako wa utelembwe waige hili maana hakuna namna!
 
Nyie mliotambulisha jezi kwaajili ya mashindano ya kimataifa msimu huu mliishia wapi ? [emoji23][emoji23]
 
Kwani wakivaa jezi mpya wewe inakupunguzia nini, kipi kinakuuma? Mbona nyie mlizindua zile jezi zenu za utelembwe zenye visit kilimanjaro/zanzibar mkazigeuza madekio baada ya game moja hapo tuseme mliangukia taya mkavunjika magego!
Jezi za kimataifa za simba zinaendelea kutumika siyo kama zenu zile ambazo hakuna hata anayethubutu kuvaa bure!

Simba kuzindua jezi mpya za mapinduzi imewauma sana nyie utelembwe, na kama hujui inawezekana akili zako zimeshaanza “kudoda” hicho ni chanzo cha mapato usidhani ni wajinga hao! Hizi jezi mpya zitanunulika tena sana tu, na hizo za kawaida zitaendelea kununulika kama kawaida!
Mapinduzi simba itaingiza hela nyingi sana kwenye mauzo ya hizi jezi mpya na itapata fedha nyingi kushinda hata zawadi ya mshindi wa kwanza!
Tukisema mashabiki wa utopolo ni mazwazwa ujue na wewe ni miongoni mwao tu, kama unashindwa kung’amua hiki ilichofanya simba!

Subiria viongozi wako wa utelembwe waige hili maana hakuna namna!
PUNGUZA MAKASIRIKO JOMBAA? MBONA UNAPANIC 😆😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom