Povu la kutosha[emoji1787][emoji1787]Unakazwa wewe sio bure, unaelewa nini juu ya masuala ya mikataba! Wewe ni nani ameshakuja kuhoji mkataba wako na mwajiri wako? Mbona umemficha ata mkeo/mmeo mshahara unaopokea? Unapata wapi nguvu ya kuhoji mikataba ya wenzako, funga bakuli kwa vitu usivyovijua utakuja kuvalishwa dela siku moja
Unakazwa wewe sio bure, unaelewa nini juu ya masuala ya mikataba! Wewe ni nani ameshakuja kuhoji mkataba wako na mwajiri wako? Mbona umemficha ata mkeo/mmeo mshahara unaopokea? Unapata wapi nguvu ya kuhoji mikataba ya wenzako, funga bakuli kwa vitu usivyovijua utakuja kuvalishwa dela siku moja
Well said bro, huu ni mkataba wa kihuni, Kwanza TFF walikubali vipi utekelezwaji kabla ya pesa yoyote kuingia? Tff wamekosa umakini kiasi hiki au ndio tuamini viongozi walihongwa na GSM?Kwanza mazingira ya mkataba yenyewe yalifanyikia gizani huku walipokuja kuwasilisha makubaliano yao wakaweka komeo la siri na kuweka kauli za vitisho watu wasihoji na kwamba makataba huo ni kati ya TFF na GSM
Fact ya Simba kukataa kuvaa nembo ya GSM kwenye jersey yake ilikuwa nyepesi sana na logically, kama mkataba unahusu GSM na TFF basi hakuna sababu ya Simba kuvaa nembo ya GSM au kuweka mabango uwanjani yake kwenye mechi za Simba na badala yake hizo nembo zivaliwe na viongozi wa TFF na hayo mabango yapelekwe pale karume kwenye ofisi zao
Ile mikwara ya bumbuli kumvagaa dauda kumwambia kwenye nchi hii yanga akitaka kufanya kitu hakuna wakuzuiliwa na sasa watake wasitake watavaa tu yuko wapi?
Saizi naona wamebadili msemo kwamba club zinazoumia ni hizi ndogo, lakini hapo hapo pia tunaambiwa katika kipindi hicho cha mkataba huo kusainiwa hakuna timu ambayo ilipokea chochote. Sasa ni mjinga gani anaweza akaamini kuwa uwepo wa GSM kama co sponsorship una impact kwa club hizo?
Ukiangalia sababu zilizotolewa na GSM kufikia uamuzi wa kusitisha mkataba wa udhamini wa ligi kuu ya NBC, asilimia 99 zimechangiwa na ukaidi wa Simba katika kutekeleza ma..Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amefunguka mambo kadhaa kuhusu udhamini uliositishwa.
Ni kuhusu GSM kutangaza kuvunja mkataba wa kuwa mdhamini mwenzake wa Ligi Kuu Bara:
“Simba hatukukubaliana na mkataba huo, tulipambana lakini wenzetu hawakuona kama tuko sahihi, tulionyesha njia, tulionyesha ujasiri wetu, wakati ule hawakutuelewa, hatimaye wametuelewa.
“Tunawapongeza TFF kwa kupambana kutuletea mdhamini, haikuwa jukumu lao ni jukumu la klabu, lakini hiyo isitumike kama fimbo ya kuleta kila aina ya mdhamini, ifike hatua nionyeshe thamani ya kile ambacho tunatakiwa kukipata.
“Kuipa timu shilingi milioni tatu kwa mwezi, timu ya Ligi Kuu ni thamani ndogo, kuna wakati inakulazimu kuonyesha thamani yako.
“Anayetoa hela ndogo anapata nafasi kubwa ya kutangazwa, msimu uliopita hatukuvaa nembo ya mdhamini mwenza.
“Shida ni kwenye klabu zenyewe pia, huu ulikuwa mwezi wa pili unaenda wa tatu lakini hakukuwa na hela zilizoingia, kwa nini klabu hazikulalamika? Kwa nini Bodi ya Ligi yenyewe hailalamiki?
“Walitangazwa na timu zote lakini unavunja mkataba kisa tu Simba, basi lengo lao lilikuwa Simba, unataka kukuza soka kisha unasitisha udhamini sababu ya timu moja!”
Kama ni hivyo hata shishi baby ataweza kudhaminiYaani kabisa Simba avae logo ya GSM kwa million tatu kwa mwezi, hii ni dharau kubwa kabisa.
Mo ni mdhamnini wa ligi?Mo analipa Bei gani kwa kila tangazo kwenye jezi za Simba!?
They didnt see it coming wali underestimate msimamo wa CEO wakidhani hawezi kuwa na madhara kwasababu wao ndio wakubwa wameahaamuaWell said bro, huu ni mkataba wa kihuni, Kwanza TFF walikubali vipi utekelezwaji kabla ya pesa yoyote kuingia? Tff wamekosa umakini kiasi hiki au ndio tuamini viongozi walihongwa na GSM?
GSM amezungukwa na watu wenye uwezo mdogo Sana na wanaoendeshwa kwa mihemuko. Amekosa watu Makini wa kumshauri. Ngoja aingie hasara atajifunza tu.They didnt see it coming wali underestimate msimamo wa CEO wakidhani hawezi kuwa na madhara kwasababu wao ndio wakubwa wameahaamua
Hiyo dhana ilitengeneza kiburi kwa GSM na crew yake pamoja na mashabiki wa yanga, zilitumika lugha za kishujaa sana baada ya TFF kuidhinisha rasmi huo mkataba
Utakumbuka kua hasani bumbuli alimfata chamber shafii dauda na kumwambia kua Yanga ndio kila kitu kwenye hii nchi, hakuna kitu yanga itatala halafu kukawepo kikwazo cha kuzuia
Na akidai sasa hakuna namna Simba itaepuka mkono wa GSM (hiyo baada ya zile jersy za Simba ku leak zikiwa zina chata ya GSM)
Haya maneno ya sisi masikini, ni maneno ya kwenye kanga.Kwanza GSM afunguliwe kesi ya udanganyifu na uhujumu uchumi, aweke rehani hata vile vigodoro akili imkae sawa
Utofauti unakuja tunapo tofautiana kwenye SI Unit ya kupima kujua yupi mwenye pesa na nani mpambanaji anaye fight kujiweka sawaHaya maneno ya sisi masikini, ni maneno ya kwenye kanga.
Mwenye pesa hawezi ongea utumbo kama huu!
Fisadi mkubwa wewe,nenda ZAKO unatuhalibia ligi yetuUnakazwa wewe sio bure, unaelewa nini juu ya masuala ya mikataba! Wewe ni nani ameshakuja kuhoji mkataba wako na mwajiri wako? Mbona umemficha ata mkeo/mmeo mshahara unaopokea? Unapata wapi nguvu ya kuhoji mikataba ya wenzako, funga bakuli kwa vitu usivyovijua utakuja kuvalishwa dela siku moja
TBC hawekwi kwenye jezi ya timu yoyote, na kama timu zimekubaliana na TBC kwenye matangazo ya redio na ikiwa ni redio ya taifa haina shida.TBC ana mabango yake na ametoa Mil 300 tu mbona Makolo hawajasema ni ndogo
Uhuni tu, Kama kawaida vyura washaanza kukalamika huko.Licha ya timu 15 za ligi kuu, isipokua moja tu, kuvaa logo yake na kuweka mabango yake viwanjani, muuza magodoro, ambae ni bwana wa yule mchumia tumbo, ameona magodoro yake hayauziki bila kutangazwa na chama kubwa Afrika mashariki na kati Simba Sc, ndio mana ameshindwa hata kuwalipa hizo timu 15 kwa kazi waliyoifanya ya kumtangaza kwa kipindi hicho cha miezi 3.