Tetesi: Simba yacharuka, yazitaka saini za Pacome, Aucho Msimbazi!

Kwani wakati Rs Berkane yupo nafasi ya 6, huo msimu aliokuwa na 0 point si ulikuwepo? Sasa kwanini haikuwa kigezo cha kumfanya a-drop nafasi kwenye viwango vya ubora?

Unaelewa ulichokiandika hapo?

Ni sawa na kusema aliyezidisha 0x1 na aliyezidisha 0x5 hawawezi kuwa sawa kwenye conclusion zao kwasababu kuna ameizidisha 0 kwa namba kubwa.

Kwamba aliyepata 0 kwenye mwaka ambao coefficient yake ina pointi nyingi anakuwa amepoteza sana kuliko yule ambaye aliyepata 0 kwenye msimu wenye pointi nyingi?

Aiseee hili ni tatizo.

Kama hii hauifanyi kwa bahati mbaya basi upo kwenye denial zone.

Mkuu naandika hii ya mwisho.

Haijalishi umeambulia 0 pointi katika msimu wenye pointi ngapi. 0 point itaendelea kuwa na thamani yake ile ile ya 0 hata kama aliyeipata alikuwa kwenye msimu wenye pointi chache.

Hata msimu huu wa 2024-2025 wenye pointi 5 kumbuka ifikapo msimu ujao wa 2025-2026, msimu huu wwa 2024-2025 itakuwa pointi 1 na kuwa 4 ili msimu latest yani 2025-2026 uwe na point 5.

Kwa hiyo Rs Berkane kupata 0 katika msimu wa 2022-2023 sio sababu ya kumfanya ashuke viwango vya ubora, hata ingetokea amepata 0 kwenye msimu wa 2023-2024 bado haikuwa factor.

Kilichomfanya ashuke nafasi ni kutokana na ule msimu wa 2019-2020 ambao alivuna pointi nyingi baada ya kuchukua ubingwa. Msimu huo umeondolewa kwenye mfumo wa 5 year ranking na kufanya zile point 5 alizozipata katika huo msimu kuzipoteza.

Simba imesogelewa na Yanga kwa gape dogo la pointi kwasababu hizi

Simba msimu wa 2020-2021 Simba alifika robo fainali na kuchukua alama 3. katika huo mwaka pointi ilikuwa ni 5. Kwa hiyo ukizidisha 3x5 unapata 15

Msimu uliofuata kabla hata ya mashindano kuanza tayari pointi za Simba hazikuwa 15 kama ilivyokuwa msimu ulioisha, pointi zilikuwa 12 kwasababu ule mwaka ulipunguzwa pointi kutoka pointi 5 hadi pointi 4.

Kwa hiyo ulikuwa ukizidisha ni 3x4=12.

Huo msimu umezidi kurudi nyuma na kila unaporudi nyuma pointi zake zinapungua na mpaka sasa 2020-2021 umekuwa na pointi 1, maana yake zile pointi 3 alizopata Simba zitazidishwa kwa 1 kufuatiwa kupungua kwa pointi kwa huo msimu.
 
Usajili wa mhemko na kukomoana siku zote haulipi! Pacome ni bingwa wa kucheza na jukwaa tu full stop!! Kwa soka la KISASA HAFAI!! NUNGUNUNGU NI BORA KULIKO AUCHO!! Kama vipi wamrudishe nungunungu wetu!
Mkuu, unajua kama sio Pacome Yanga tusingeiota robo fainali ya ligi ya mabingwa msimu uliopita?

Yeye ndio aliibeba timu mabegani mwake mechi zote aliamua yeye.

Kukosekana kwake robo fainali naamini tungeicheza nusu fainali, mechi ya Mamelody tulikosa ushindi kwa kumkosa Pacome.
 
Ubora wa mchezaji unaangaliwa kwa vitu vingi sio matukio ya msimu.

Simba imemuacha Onana ambaye kupitia yeye ndio tulifika robo fainali, kwa maoni yako huyu alitakiwa kuendelea kuwepo mpaka sasa kwa kile alichokifanya kuifikisha timu robo fainali.
 
Uongoo wa wazii kabisaa huu, lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ili tufunge mjadala huu naomba jibu swali moja tu, je Berkane angepata point kwenye msimu wa 2022/2023 zingemsaidia kuwa juu ya Simba au zisingemsaidia? Hiyo habari ya kufutwa wala sio hoja kwasababu hizo point zinafutwa sio kwa Berkane pekee bali kwa timu zote. Ingekuwa imefutwa kwa Berkane pekee yake ndio ingekuwa ni sababu ya maana ila timu zote zimefutiwa na yeye pekee yake ukiangalia ndio kakosa point kwenye msimu wa 2022/2023. Angalia Zameleki alikuwa na point 5 msimu wa 2019/2020 lakini pamoja na kufutwa kwa huo msimu, bado point zake zimekuwa nyingi kwavile msimu wa 2022/2023 ambao coefficient yake ni kubwa kaambulia point. Berkane angepata point hata 2 kwenye msimu wa 2022/2023 wala asingekuwa hapo alipo. Kufutwa kwa msimu mmoja ni kwa wote wanafutiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…