Tetesi: Simba yacharuka, yazitaka saini za Pacome, Aucho Msimbazi!

Tetesi: Simba yacharuka, yazitaka saini za Pacome, Aucho Msimbazi!

Pacome na Aucho wakafanye nini Simba?

Yani tumemuacha Chama halafu tuje tumchukue Pacome kweli?

Simba kama itaamua kufanya hivyo ni kwa lengo moja tu kuua chemistry ya Yanga lakini sio kwa mategemeo ya hao wachezaji waje kuwa mchango ndani ya timu.
Mkifanikiwa kumpata Pacome hakika mtalamba dume, Pacome kamuacha mbali sana Chama.

Umri pia kwake ni rafiki kuliko Chama.
 
Hivi kumsajili Philippe Kinzumbi ndio imeshindikana kabisa, maana nilisikia usajili wake huko Club African bado una utata kwani wameingia mgogoro na TP Mazembe, sema Simba msimu huu wamejitahidi kwenye usajili hiyo mechi ya jumamosi Yanga wakijitahidi sana ni draw ya goli moja moja
 
Hivi kumsajili Philippe Kinzumbi ndio imeshindikana kabisa, maana nilisikia usajili wake huko Club African bado una utata kwani wameingia mgogoro na TP Mazembe, sema simba msimu huu wamejitahidi kwenye usajili hiyo mechi ya jumamosi yanga wakijitahidi sana ni draw ya goli moja moja
Mtani hii risiti nimesevu hii😎😂😁
 
Back
Top Bottom