Tetesi: Simba yacharuka, yazitaka saini za Pacome, Aucho Msimbazi!

Simba mmeshindwa kusajili wachezaji wakubwa wenyewe, hadi inabidi mtuibie watani zenu.

Jumamosi tusikimbiane, uwe live kwenye uzi wa mechi.
 
Hahahahaha...kuna mchezaji wameksajiri ambae hakuwepo ktk kechi ya ngao ya jamii ?
 
Hawamtaki tena Manzoki?
 
Pacome mguu nje, mguu ndani...
Taarifa za uhakika ni kwamba Pacome tayari ameshapokea 'kishika uchumba' kutokea Simba, pamoja na kupangiwa nyumba ya kuishi ambayo anaishi hivi sasa staa huyo kutokea Ivory Coast.
Nilishaiamini hii story, ila nilipokumbuka kuna sehemu umeandika hivi, nikarudi kusoma tena.
 
Oi usinambie ni kile chanzo nyeti...!?
 
Hizi taarifa za tetesi ndio imeletwa kimkakati ili kufuta na kusahaulisha machungu ya taifa stars kufungwa na Congo na hapo hapo kuvuruga maandalizi ya yanga Kwenye mechi ya derby .
 
PrOPAgANda...
 
We shangazi hebu kwenda kuleee
 
Pacoume nafasi yake kwa sasa Yanga imekua ndogo, ila naona simba waki push zaid wanaweza kumpata, na ndo utakua usajili wenye tija kuliko hata Aucho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…