[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi hapooo utopwengaaa wanaumiaaa had kende zinarudi ndaniii. UwiiiiiiihHapo mumlipe Bigirimana wa Newcastle, mumlipe yule kocha aliyewaita manyani, sidhani hata kama mtabaki na jero.
Pesa ambayo Simba anapata kwa kufika tu robo fainali ya CAFCL, Yanga hawawezi kuiona mpaka wafika fainali ya CAFCC.
Haya asante nimepoa.Mbna km unaumia?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwan zako? Umetafuta wee? Poleeeee kwa kutesekaaaa.
Huyu Kijana kwa kweli ananiumiza sana moyo! โน๏ธ Maana amechagua njia mbaya kabisa ya kupita katika maisha yake.Haya asante nimepoa.
Avatar yako itawapawisha members wapya wasiojua ule mchongo wako ๐๐
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kuishiwa hoja, ukaamua kuja na hili?? Hili mbna sio jipyaa tena humu ndanii.Haya asante nimepoa.
Avatar yako itawapagawisha members wapya wasiojua ule mchongo wako [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shougaaaa angu unaniogopaaa?? Mbna unadandia kwenye comments za watu kuzungumzia kinacho kutesaaa? Ungeanza kujichangia wee kwan, BP na kisukari vinakutafunaa badalaa uhangaike ujitibu, unahaha na mie.Huyu Kijana kwa kweli ananiumiza sana moyo! [emoji3525] Maana amechagua njia mbaya kabisa ya kupita katika maisha yake.
Kungekuwa na hospitali ya kumrudisha katika hali yake ya awali, aisee ningekuwa tayari kuchangia chochote ili tu kufanikisha matibabu yake.
Na mimi ni mfano wa kuigwa ๐คฃ๐คฃ๐๐คฃwakuu utani wa jadi sio vita wala uadui,michezo ni faraha,urafiki,ajira na kuimarisha afya.msifikie kutukanana.
timu yako ikipigwa dongo(vijembe) na mjadi mwenzio rellax usipanick,ilo dongo ndo utani wa jadi wenyewe alikupunguzii wala kuuzidishia chochote wewe na timu yako.akikutukana mpuuze usimjibu(ignore him/her).
igeni mfano wa hawa mashabiki wavumilivu๐ Tate Mkuu Kalpana na Mshana Jr na wengine๐
Mungu ,,!wangu nilikusaauje sijui๐ ๐Na mimi ni mfano wa kuigwa ๐คฃ๐คฃ๐๐คฃ
Ya banter nimekubali, ya Avatar nayo bado ta moto hii sio kila member ameshtukia ๐[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kuishiwa hoja, ukaamua kuja na hili?? Hili mbna sio jipyaa tena humu ndanii.
Katadute jingineee njoo nalooo, hili nalimuduuu.
Poleeeeeeeeeh
Hivi huyo unamjibu?ni li roboti linatype huoni comment yake ni hyo hyo hata watu hawamfatilii..Inategemea hilo kundi unalongoza uko na losers wenzako
Kama ni mabingwa kama hapo chini nakuja kukuchomoa huo mwiko
๐ ๐ ๐ ๐ ๐wakuu utani wa jadi sio vita wala uadui,michezo ni faraha,urafiki,ajira na kuimarisha afya.msifikie kutukanana.
timu yako ikipigwa dongo(vijembe) na mjadi mwenzio rellax usipanick,ilo dongo ndo utani wa jadi wenyewe alikupunguzii wala kuuzidishia chochote wewe na timu yako.akikutukana mpuuze usimjibu(ignore him/her).
igeni mfano wa hawa mashabiki wavumilivu๐ Tate Mkuu Kalpana na Mshana Jr na wengine๐
Hadi kufikia sasa ambapo Simba ametinga robo fainali kibabe, kwa kumchabanga Horoya mabao 7-0 kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Afrika CAFCL, huku Yanga ikitinga robo fainali kombe la Shirikisho Afrika CAFCC, Simba SC imezidi Yanga kwa mbali kwa kukusanya fedha nyingi kwenye michuano ya Kimataifa ya CAF wanaoshiriki.
Hii ndo maana ya michuano mikubwa kwa timu kubwa kushiriki.[emoji116]
Umegundua leo? Sisi tunajua wote ninyi utopolo hamnazo kasoro watu wawili tuNimegundua mashabiki ya Simba hayatumii akili vizuri, yanajifarijigi kwa vitu vya kijinga!
Wastue wee hao wanaa,.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ya banter nimekubali, ya Avatar nayo bado ta moto hii sio kila member ameshtukia [emoji23]
Acha wanaa wajichanganye wenyewe kwenye appointment watashangazwa ๐Wastue wee hao wanaa,.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unateseka ukiwa wapiiii???
Sio kushiri tu na kubeba kombeUbingwa wa Afrika watautwaa vipi wakati wenyewe wNshiriki KOMBE la shirikisho. Kuutwa ubingwa LAZIMA ushiriki mashindano ya klabu bingwa