Simba yaizidi Yanga kwa kukusanya fedha nyingi kwenye michuano ya Kimataifa ya CAF

Vipi tupige tena hesabu ya hela zilizoingia kwa Simba na Yanga au ugomvi sio mzuri?
 
Hii ajenda bado ipo tuuu???
 
Halafu kombe hilo hilo mnalolidharau (mkiringia mmlichuano ya Mapinduzi Cup) ndilo limeifanya Yanga iwashushe makolokoloni FC kwenye ubora wa vilabu Afrika
Dah ujinga ni maradhi.Hiyo listi ni timu zinazofuatiliwa kwenye social media sio ubora.Kwenye listi ya ubora bado sana ingawa Utopolo wamepiga hatua kwenye Losers Cup.
 
Kumbe hujui mambo yanavyokwenda, hakuna pesa ya kuingia group stage
Ndio maana Rage alituita MBUMBUMBU!




Link hii hapa chini.


Summary yake hii hapa
 
Unapoishia ndiyo utapewa hela yake

Haimaanishi ukiingia robo unavuta, then ukiingia nusu fainali unavuta tena.
Pale utakapoishia ndiyo unapewa.
Aliyeishia robo atapewa, aliyevuka robo yeye hatapewa. Atasubiriwa nusu fainali, akiishia fainali atapiwa lakini akivuka fainali hatapewa, atasubiriwa kama atachukua kombe au nafasi ya pili ndiyo apewe
 
Reactions: Tui
Halafu kombe hilo hilo mnalolidharau (mkiringia mmlichuano ya Mapinduzi Cup) ndilo limeifanya Yanga iwashushe makolokoloni FC kwenye ubora wa vilabu Afrika
tofautisha kudharau na kuueleza ukweli
 
Reactions: Tui
tofautisha kudharau na kuueleza ukweli
Hivi mikia anapigania kombe lile msimu huu? Najua ninyi mmeshiriki kombe la dunia la udaku, hivyo mko vizuri kwenye eneo hilo. Mtumiaji sana hasa pale mkishuhudia wananchi wakinyenyua kwapa kwenye mashindano makubwa ya CAF. Kwa sasa endeleeni kulialia na kulalamika, muda wenu unakuja ambapo mtatafuta mahali pa kujificha pasiwepo.
 
Mbona unachoongea hakina uhusiano WOWOTE ba nilichoandika?
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…